BATULUNGE
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 391
- 633
Unazingua bibie= alibadili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazingua bibie= alibadili
Upo sahihi MkuuKula Wakristo siyo hoja sana kwao. Ni urithi wa kizungu. Waliokwenda Uaya, vyakula vyao siyo vitamu ki hivyo! Waarabu wanajali sana kula ndio maana viungo vingi vina soko Uarabuni. Ni part ya Uislamu nadhani! Wanafundishwa nadhani madarasa! Mwambao wote wanajua kulemba chakula. Stand to be corrected!
Kulikuwa na shida gani ya kutaja mikoa husika badala ya kuhusisha dini mbona waislanu wengi wanakula nguruwe na siyo ishu kabisaMimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Hii topic inapoelekea...itakua ya kidini....NgojA mie nikajiandae nA kirisimasii. ...nitakua nachabo KWA mbali
Tunaongiza kwa mapishi na hakuna ubishi na kama unabisha nenda kwenye mgahawa wa kiti moto au mbuzi na nyama choma kwenye baa zilizo maarufu utaelewa nazungumza nini. Hakika tunaongiza.Mimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Mambo ya supu na nyama choma hao majamaa wanajua sanaPale, Turiani Morogoro kuna Mangi mmoja wanamuita Masawe, aisee jamaa kwa kupika Supu ya mbuzi kali ni balaa... Sijui anaweka nini hiyo Supu yake maana ni so delicious...
Nijuavyo mm kupika ni juhudi za mtu binafsi.....mtu akitaka kujua kupika sio laZima awe islamic.....juhudi zako tu...utajikuta unapika each and everything! !Ukweli ni kwamba sisi wakristu kwenye suala la mapishi tupo shallow sana.
Taja vitu ambavyo mwarabu kagundua, kwa nini huandikie mate wakati wino UpoWaarabu(waislamu) wanamchango mkubwa sana katika dunia ya sayansi na Teknolojia. ..hizo Algorithms zinazo tumika katika laptop zenu zinastem from pioneers katika hizo fields, Al Khwarizmi n.k. Hizo namba unazotumia pekee zinaitwa 'Arabic numerals' na mengine mengi tu. Tusikurupuke jamani
Faiza unapenda kukosoa watu, wakati wote tumeelewa hamna mzungu huku useme hajaelewa
Mwambao haimilikiwi na mwarabu, ni mtu wa Tanga, ila nakubali wana vyakula vizuri nimekula sana hapo...mtaa wa ndovuKuna ki restaurant hapa arusha kinaitwa mwambao kinamilikiwa na wazenji kuna pilau mbuzi haijawahi kutokea, hapa kesho Christmas nina mpango wa ku lunch pale
Ni pilau inayosifika zaidi hapa arusha
Watu wa pwani wanajua kupika sababu maeneo yao kuna spices nyingi na wamekuwa nazo wanafahamu kuzitumia vizuri
Mkuu ni malezi tuu sio elimu wala kukosa muda, kama huamini chukua binti wa kikristo mwenye degree na binti wa kiislam mwenye degree waambie wakupikie chakula au wape pesa kiasi sawa kwa matumizi ya home au kujipendezesha alafu urudi uniambie nani fundi.Kama kuna ukweli fulani, labda kwa sababu wengine hawana muda wa kusoma elimu dunia basi wanashinda jikoni.
Kama hawana muda wa kusoma kwann wasijue kupika
Wacha uongo wa kitoto ww! Hebu tudanganye ww hilo chimbuko lako la ISIS unavyojua...[emoji23]me sipingi ukweli ila nnachopinga aina ya post wkt kuna mataifa yalianza km hv mwishowe leo hayakariki,,unajua chimbuko IS?fatilia then utajua,,okey am sorry if I vex you in anyhow brother!