Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

Kuna ki restaurant hapa arusha kinaitwa mwambao kinamilikiwa na wazenji kuna pilau mbuzi haijawahi kutokea, hapa kesho Christmas nina mpango wa ku lunch pale
Ni pilau inayosifika zaidi hapa arusha
Watu wa pwani wanajua kupika sababu maeneo yao kuna spices nyingi na wamekuwa nazo wanafahamu kuzitumia vizuri
Birian ya Kulan Restaurant unaacha wapi..?
 
Ni kweli kwasababu wao muda mwingi ufikiria kupika kuliko shule,wa upande wa pili muda mwingi waliutumia shule
 
Shida ni kwamba kwako/kwenu wanapika vbaya sasa katika kutafuta nafuu nako ukakuta kibaya ndo maana imekubd useme ya moyoni
 
Wasukuma watabe wa ugali
Wapare watabe wa MAKANDE
Wachaga wao mtori
Wahaya ndizi tuu
Jamii za watu km hawa watawezaje kupika pilau?

Mwanamke anapika ugali anakula na mtindi afu afu anasifia mtamuuu
Hajui kupika mboga huyu

Ila pwani jamani tuwaaache tuuu

Atakaebisha t
Post hii mbishiiiiiiiiiiiii GENOTYPICALY
 
Mchele wa plastiki ukipikwa na mtu wa pwani & mzanzibari aisee ni mtamu sana huwezi kujua kama ni mchele wa plastiki..........

Teh teh teh teh teh.........
 
udini haufai sio dini flani wala dini flani wote wanajua kupika vivo hivyo pande zote wapo wasiojua kupika..... endelea kufuatilia mambo hayo mana ni ya muhimu na ndo kazi yako na mwisho wa mwezi si UNALIPWA....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mtoa thread umekosea kupost

Ungesema kwanini ukanda wa pwani ,maeneo ya mwambao ni wazuri sana kwenye upishi kuliko ukanda wowote ule

Sababu kubwa mtoto wa kike angali mdogo anaingia jikoni ,na ni desturi mtoto wa kike asipojua kupika aibu inakuwa kwa familia

Halafu haya maeneo ya bahari hawapendi kula ugali wanapenda umwinyi ,tofautisha ukanda wa maziwa makuu wao ugali tu ,kazi tu
 
Mimi ni Mkristo!

Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!

Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Mbona unaongea ujinga ww hiyo research umefanya wap afu hoja ya kujua kupika ni kujifunza kujua kupika angalia kaul hekima iwe inakuongoza

Mbona wakristo akitokea mtu kukashifu jambo lolote kwenu HUWA mnamaind sana

Mfano mwepesi ni huu . viongoz wengi wa kiislamu hasa masheikh na maimamu na hata wale wakubwa wengine wenu hawajaenda shule tofaut na wakristo wengi wamesoma unakutana na Ma Dr wengi au wana degree au master na wachache diploma na wale ambao hawakuwa na nafas huendelezwa kielimu na ndiyo maana hata kiuongoz na ki maamuz kuna tofaut . VIONGOZ wenu wengi mambulula tu kisa hawana elimu tofaut na wakristo (najua kuna watao kwazika kwa kuongea hiv .nataka muone na nyie ubaya wa kukashifu wenzenu . ilitakiwa mumkanye huyo mwenzenu)

Tuheshimiane
 
Kula Wakristo siyo hoja sana kwao. Ni urithi wa kizungu. Waliokwenda Uaya, vyakula vyao siyo vitamu ki hivyo! Waarabu wanajali sana kula ndio maana viungo vingi vina soko Uarabuni. Ni part ya Uislamu nadhani! Wanafundishwa nadhani madarasa! Mwambao wote wanajua kulemba chakula. Stand to be corrected!
Huu ni ukweli Mchungu sana kuumeza, umepiga dini zote mbili kiaina ....!!
 
Back
Top Bottom