Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

Nenda kawasaidie kupika
 

= alibadili
 
Mapishi ni sehemu ya utamaduni wa jamii husika hivyo basi watu wa mwambao wa pwani wamerithi utamaduni wa kiarabu na hawa wengine wao wamerithi utamaduni wao wa asili au wa watawala wao wa kikoroni hivyo ni dhahiri waarabu ni watu wanopenda sana vyakula vyenye harufu zenye mvuto (mahanjumati) kitu ambacho si saana kwa sisi katika tamaduni zetu
 
Vizuri vina mafuta kwa hyo wanazingatia kanuni za afya
 
Mi najua kupika ...nA ni mkristo....huyo mwny mgahawa asiejua kupika labda katokea kishumundu babaa anguu
 
Amejibu kiushabiki ndio tatizo lake...
 
Pale, Turiani Morogoro kuna Mangi mmoja wanamuita Masawe, aisee jamaa kwa kupika Supu ya mbuzi kali ni balaa... Sijui anaweka nini hiyo Supu yake maana ni so delicious...
Hata pale mlandizi kuna jamaa anapika supu ya mbuzi tamu balaa
Bei yake iko juu ila wateja kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…