Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

Nguruwe ndo chakula kitamu kwa hapa bongo,

Nisameheni jamani, nasikia kuna wale wa upande ule ni haramu kwao
 
ha ha ha ha ha Reminds me of aljazeera restaurant Dar Mbeya road VS high way retaurant Dar Moshi road
 
Kula ni utamaduni! Nakumbuka Mhe Ramadan Mwinshehe Ukiwaona Usiwajali Ditopile wa Mzuzu,Texas Boy. Allah amrehem, alisema watu wa Bara hawajui hawajui kula chapati na mchuzi.
 
Mawazo yako yanalenga , uchochezi utakao sababisha uvunjifu wa amani nchini kama usipodhibitiwa.kaa chonjo nitakushughulikia kabla hujashughulikiwa na vyombo vya dola
Kwani uongo acha kumtisha,kasema kweli wajifunze kupika,uo uvunjifu wa amani unatika wapi?
 

Mkuu
Chakula kizuri ni kipi? Kila mtu ana test yake. Kama pilau la kiislam kwako ni deal mwingine burger ndo deal.
Unaposhabikia wali wanazi we mtu wapwani, msukuma ugali ndo deal hivyo topic yako si oni mantiki yake zaidi ya element za ugonganishi.
 
Mkuu ninakuunga mkono, mfano mimi nikiwa Dar maeneo ya posta nitajitahidi nimalize shughuli zangu ata kwa kuchelewa nije kula lunch matata hasa pilau na makorokoro mengine pale magomeni butiama au basmatt jamaa wanapika hatari.
Ungejua hivyo viungo vya pilau wanachanganya na vitu gani, hutotamani tena pilau maishani mwako
 
Kumbe walipo wakristo waislamu hawapo? Je! Kuna ushahidi gani kuwa hiyo ni wakristo? Acheni udini.
 
Hivi mnafuata utamu?....mbona hao wanaosifiwa kujua kupika usafi ni zero....utakuta mamtu yamejazana sehemu yanakula wala hayajali....kifupi kwangu mie ni usafi kwanza ladha baadae... Nawasilisha
 
Kwani uongo acha kumtisha,kasema kweli wajifunze kupika,uo uvunjifu wa amani unatika wapi?we ccm nini??au TBC wew?
Yaliyo tokea buselesele mwaka 2014 ,ungeyakumbuka nadhani ungelaani Uzi huu, ngoja niseme kitu kimoja, hoja siyo wakristo na waislamu nani mpishi mnzuri .hoja za mapishi zinatofautiana ukanda na ukanda kutokana na wageni wa hapo awali. Mfano, watu wa pwani wanaandaa chakula chao kwa mfumo wa waarabu ,wanatumia vitu kama Nazi,karafuu, iriki tende na vikorombwezo vingine kibao ili kuleta harufu nzuri ya chakula, lakini chakula cha namna hiyo ukikipita kanda ya magharibi hususani kigoma,kagera geita n.k, watakuona pia hujui kupika kwa sababu hawajawahi kukila ,wao wamezoea kuweka karanga, magadi, pilipil n.k nawe MTU wa pwani ukipewa chakula cha namna hii kitakushinda pia, ndiyo maana nikaonya kwamba hoja za kidini zisihusishwe na mapishi, umenielewa mkuu? Udini siyo mzuri utatutafuna.
 
Nan kakwambia nahitaji kuolewa?
 
Tembelea Majiko yoote ya Kitimoto hapa mjini uone Kama kuna Sheikh au Imamu kule jikoni,,

Alafu Onja pishi la Lost na Ndizi la Hii nyama iliyotayarishwa na akina Joseph,, Lukas na Yudah uone test ya pishi.
 
mbona christian unachikia nendeni mkajifunze kwa wenzenu wote ndugu ninyi
 
Kitu wali nazi aaaagh acha tu ila mm mqanmke wangu ni mkristu na anajua kupika!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…