wingatereza
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,334
- 1,722
Nguruwe ndo chakula kitamu kwa hapa bongo,
Nisameheni jamani, nasikia kuna wale wa upande ule ni haramu kwao
Nisameheni jamani, nasikia kuna wale wa upande ule ni haramu kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahawe utakuwa upo kwa Mama N'tilie kakujazia wali wenye hamira na nyama ya Faru John basi umeshiba unasifia wee kama vile hutopata njaa tena
Kwani uongo acha kumtisha,kasema kweli wajifunze kupika,uo uvunjifu wa amani unatika wapi?Mawazo yako yanalenga , uchochezi utakao sababisha uvunjifu wa amani nchini kama usipodhibitiwa.kaa chonjo nitakushughulikia kabla hujashughulikiwa na vyombo vya dola
Mimi ni Mkristo!
Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula kibaya sana. Migahawa inayofanya vizuri mara nyingi huwa inamilikiwa na Mama Zena, Hamisa, Hadija, Aisha, Mpemba, n.k. Majina ambayo huwa yana uhusiano na dini ya Kiislamu. Mke wangu ni mpishi mzuri sana, labda kwa sasa alibadiri dini; lakini nasikia wanawake wa kikristo mapishi kwao ni taabu!
Kuna tatizo gani la upishi katika Jamii ya Kikristo Tanzania?
Ungejua hivyo viungo vya pilau wanachanganya na vitu gani, hutotamani tena pilau maishani mwakoMkuu ninakuunga mkono, mfano mimi nikiwa Dar maeneo ya posta nitajitahidi nimalize shughuli zangu ata kwa kuchelewa nije kula lunch matata hasa pilau na makorokoro mengine pale magomeni butiama au basmatt jamaa wanapika hatari.
Yaliyo tokea buselesele mwaka 2014 ,ungeyakumbuka nadhani ungelaani Uzi huu, ngoja niseme kitu kimoja, hoja siyo wakristo na waislamu nani mpishi mnzuri .hoja za mapishi zinatofautiana ukanda na ukanda kutokana na wageni wa hapo awali. Mfano, watu wa pwani wanaandaa chakula chao kwa mfumo wa waarabu ,wanatumia vitu kama Nazi,karafuu, iriki tende na vikorombwezo vingine kibao ili kuleta harufu nzuri ya chakula, lakini chakula cha namna hiyo ukikipita kanda ya magharibi hususani kigoma,kagera geita n.k, watakuona pia hujui kupika kwa sababu hawajawahi kukila ,wao wamezoea kuweka karanga, magadi, pilipil n.k nawe MTU wa pwani ukipewa chakula cha namna hii kitakushinda pia, ndiyo maana nikaonya kwamba hoja za kidini zisihusishwe na mapishi, umenielewa mkuu? Udini siyo mzuri utatutafuna.Kwani uongo acha kumtisha,kasema kweli wajifunze kupika,uo uvunjifu wa amani unatika wapi?we ccm nini??au TBC wew?
Nan kakwambia nahitaji kuolewa?Bila shaka mumeo unamlisha notes zinazonukia harufu nzuuuuuri ya wino.
Kusoma kwako kukusaidie kujitambua ili kuyamudu mazingira ya sasa na yajayo.
Mazingira yajayo ni kujua kuwa ipo siku utakuwa mke, na huna budi kutimiza majukumu yako ikiwa ni pamoja na kumpikia mumeo. Vipo vitu vingi vinavyoongeza upendo, hata hili pia lina mantiki.
Hujachelewa, chukua hatua.
Hakuna, kuzalishwa zalishwa je?Nan kakwambia nahitaji kuolewa?
Ukweli hawajui kupika kabisaKawasaidie kupika,kama umeona kibaya basi wewe ni mpishi mzuri,kawasaidie tu
Ukweli hawajui kupika kabisa