Kwanini miji ya Mecca na Medina inalindwa na Marekani kufuatia vitisho vya Yemen na Iran?

Alikuwa anawagombanisha saudia na iran hili apate tenda ya kuuza silaha na kujifanya anaweka ulinzi sasa hv nchi za saudia na iran zimepatana anahangaika tu.
Muda si mrefu atafungasha vilago. Patriot imeshajulikana ni jibwa koko haliwezi kung'ata. Pale hakuna ulinzi ni zuga tu. Wa hutu kutoka Yemen walikuwa wanajipigia tu kiulaini
 
Halafu mitambo yake ikafumuliwa na makombora ya buku ya wayemen
 
Unataka kusema waarab wote hawana akili mpk wagombanishe maan nchi zote za kiarabu zina migogoro ya wao kwa wao misri vs Algeria , Libyia vs Misri , Saudia vs Yemen , Afghanstan vs Pakistan etc je hawa waarabu hawana akili mpk kila mgogoro wao uwe umeanzisha na USA
 
Alikuwa anawagombanisha saudia na iran hili apate tenda ya kuuza silaha na kujifanya anaweka ulinzi sasa hv nchi za saudia na iran zimepatana anahangaika tu.
Kwamba Saudia ma Iran hawana akili kujua wanagombanishwa ila ww mvaa chupi made in China ndo umejua , si ndio ?
 
Uongo huo, mnategneza kila aina ya uongo, tunawafahamu.

Soma Qur'an inasemaje:

Qur'an 49:10
Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mrehemewe.

Hehehe halafu nikikumbuka namna hao miungu wenu waarabu hutesa wanawake wa Kiafrika kule kwao wanapokwenda kufanya kazi za nyumbani, yaani mlichagua mabwana makatili sana kuanzia kwa mtume mwenyewe tangu alipokua anagegeda katoto ka miaka 9.
 
Kwahiyo Marekani ndio anaijenga Saudi Arabia kiuchumi? Kwanini Allah ameshindwa kuijenga hiyo nchi bila kutegemea Marekani wanaomuabudu Yesu Kristo?
 
Wana uwekezeji mkubwa hapo. Wanalinda maslahi ya mabepari wa marekani hapo na maslahi mapana ya nchi yao
 
Wana uwekezeji mkubwa hapo. Wanalinda maslahi ya mabepari wa marekani hapo na maslahi mapana ya nchi yao

Sasa hapo si ndio nyumbani kwa mohammed wenu ambapo nyote huwa mnang'ang'ania kwenda, mbona palindwe na mnaopenda kuita kafir.
 
Kitu kizito hiki kwa Ustaadhi toka mtaa wa Migelegele [emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Marekani inao wanajeshi 3000 nchini Saudi Arabia kulinda miji inayoitwa mitakatifu. Nilidhani Allah ndio alipaswa kuilinda miji hiyo dhidi ya Iran na Yemen

View attachment 2639739
Hawalindi bure wanalipwa kama wewe unavyo weza kuwapa kazi kampuni ya ulinzi , kwani wana mwaga mavi humo msikitini?
 
Sasa hapo si ndio nyumbani kwa mohammed wenu ambapo nyote huwa mnang'ang'ania kwenda, mbona palindwe na mnaopenda kuita kafir.
Huwezi kuzuia serikali na mipango yake, mbona hata Israel nchi ya ahadi lakini ushoga ni ruksa na ni haki za raia, hivyo muhimu yale maeneo matakatifu hakuna anae fanya uharibifu
 
Na moroko na Algeria
 
Hawalindi bure wanalipwa kama wewe unavyo weza kuwapa kazi kampuni ya ulinzi , kwani wana mwaga mavi humo msikitini?

Mbona na mikanzu yenu mumeshindwa kulinda nyumbani kwa miungu yenu....mumeacha mnaowaita kafir walinde......hehehe bure kabisa.
Hata hayo mafuta isingekua kwa akili za mzungu hamngeyapata.
 
Mbona na mikanzu yenu mumeshindwa kulinda nyumbani kwa miungu yenu....mumeacha mnaowaita kafir walinde......hehehe bure kabisa.
Hata hayo mafuta isingekua kwa akili za mzungu hamngeyapata.
Wale wanalinda Maslahi yao nyumba ya Mungu haina ugomvi na mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…