FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Uongo huo, mnatengeneza kila aina ya uongo, tunawafahamu.Wenyewe wanatuita mbwa
![]()
Soma Qur'an inasemaje:
Qur'an 49:10
Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mrehemewe.