Hiyo ni picha hata mimi naweza kuweka picha ya Ruto hapo ikiwa na hayo , halafu ikiwa kweli hana mamlaka yeyote katika uislamu na kaongea bila kuweka maandiko bali kwa matamanio yake ya nafsi .Wenyewe wanatuita mbwa
Wale wanalinda Maslahi yao nyumba ya Mungu haina ugomvi na mtu
Hiyo ni picha hata mimi naweza kuweka picha ya Ruto hapo ikiwa na hayo , halafu ikiwa kweli hana mamlaka yeyote katika uislamu na kaongea bila kuweka maandiko bali kwa matamanio yake ya nafsi .
Aramco inamilikiwa asilimia 100 na Wasaudi wenyewe, King Faisal alishataifisha hilo shirika mda mrefu tu, hivyo si kweli kwamba Usa ana Hisa.Kitu ambacho kajaaliwa mwanaadam ni uwezo wa kufikiri na kuamuwa. Hata malaika hawajapewa uwezo huo.
Mmarekani Saudia Arabia analinda maslahi yake. Ana hisa kubwa sana katika shirika kubwa duniani la uchimbaji mafuta, nalo lipo Saudi Arabia, linaitwa Saudi ARAMCO, Arabian American Company.
Umeelewa. Kijana? Uwepo wake kuilinda Saudi Arabia ni kwa naslahi yake 100%.
Afghanistan na pakistan si waarabu, na hizo nyingi ulizozitaja hazina migogoro, na kama ipo basi ni midogo kama zilivyo Nchi nyengine. Hakuna mgogoro pia Baina ya Yemen kama nchi na Saudia.Unataka kusema waarab wote hawana akili mpk wagombanishe maan nchi zote za kiarabu zina migogoro ya wao kwa wao misri vs Algeria , Libyia vs Misri , Saudia vs Yemen , Afghanstan vs Pakistan etc je hawa waarabu hawana akili mpk kila mgogoro wao uwe umeanzisha na USA
We jamaa ni kilaza sana hilo neno "Petro Dollar" pamoja na Uchumi wake wote kuanzia Graph za Uchumi wa mafuta mpaka Assurance waliopewa wazungu kwamba mafuta hayatakuja kuchukua Uchumi wa Dunia yameandikwa na Mtu anaitwa Ibrahim Oweiss, Professor wa Egpty mwenye Uraia pacha na Usa.Mbona na mikanzu yenu mumeshindwa kulinda nyumbani kwa miungu yenu....mumeacha mnaowaita kafir walinde......hehehe bure kabisa.
Hata hayo mafuta isingekua kwa akili za mzungu hamngeyapata.
Ndugu wanataka kupiganaMarekani inao wanajeshi 3000 nchini Saudi Arabia kulinda miji inayoitwa mitakatifu. Nilidhani Allah ndio alipaswa kuilinda miji hiyo dhidi ya Iran na Yemen
View attachment 2639739
Niamini mkuu, allah na muhammad na shetani lao ni 1Acha ufara boya wewe
FaizaFoxy .....Marekani inao wanajeshi 3000 nchini Saudi Arabia kulinda miji inayoitwa mitakatifu. Nilidhani Allah ndio alipaswa kuilinda miji hiyo dhidi ya Iran na Yemen
View attachment 2639739
Afghanstan na Pakistan nu Waarabu toka lini?Unataka kusema waarab wote hawana akili mpk wagombanishe maan nchi zote za kiarabu zina migogoro ya wao kwa wao misri vs Algeria , Libyia vs Misri , Saudia vs Yemen , Afghanstan vs Pakistan etc je hawa waarabu hawana akili mpk kila mgogoro wao uwe umeanzisha na USA
Yehova hawezi jijengea kanisa na anataka fungu la kumiAllah hawezi kujipigania
Yule aliyedakwa na warumi akiwa na kanzu yake,wakakesha naye usiku Kisha palipokucha wakamvika nepi na kumtundika msalabani...hawakumshughulikia kweli!?Allah wa muhammad ni choko.
SI KWELIMmarekani Saudia Arabia analinda maslahi yake. Ana hisa kubwa sana katika shirika kubwa duniani la uchimbaji mafuta, nalo lipo Saudi Arabia, linaitwa Saudi ARAMCO, Arabian American Company.
Arabian American Company.SI KWELI
Jitahidini kabla ya kupost jambo muwe mnafanya utafiti kwanza
Ukiwa jf epuka sana kuandika stori za vijiweni humu watu wanajua sana mambo sometimes wanapuuzia na kupita tu
USA hawana hisa Saudi Aramco
We jamaa ni kilaza sana hilo neno "Petro Dollar" pamoja na Uchumi wake wote kuanzia Graph za Uchumi wa mafuta mpaka Assurance waliopewa wazungu kwamba mafuta hayatakuja kuchukua Uchumi wa Dunia yameandikwa na Mtu anaitwa Ibrahim Oweiss, Professor wa Egpty mwenye Uraia pacha na Usa.
Jamaa alikua ndio mshauri wa Uchumi wa Jimmy Carter raisi wa marekani wakati huo na pia alikua mwalimu wa Chuo wa Bill clinton, anakuwa Regarded kama Mchumi mkubwa wa zama zetu.
Hii hapa source kwamba "petrodollar" term imetengenezwa na Oweiss
Kutoka website ya Chuo cha George washighton
Hii hapa source ya graph yake
View attachment 2640552
Graph ipo tofauti kabisa na graph ya demand tulioizoea na hio ndio formula imatumika hadi leo kwenye uuzaji mafuta.
Historia yake
Celebrating CCAS Pioneer Ibrahim Oweiss - Issuu
If you ask a CCAS faculty member to name a pioneer in advancing the study of the contemporary Arab world, most will undoubtedly raise the name of Dr. Ibrahim M. Oweiss, professor emeritus at the School of Foreign Service and one of the founding members of CCAS. To honor his immense contributions...issuu.com
Kama nyie Hapo Kenya na Huku Tanzania mnavyolishwa na kuvishwa na hao waisilamu?Wacha kuteseka bana, bila akili za mzungu hao miungu wenu waarabu wangekua wanateseka kwa umaskini na kuvaa mikanzu na kuota mindevu kama ambavyo mnavyofanya wengi huko Pwani kwenye dini yao imezagaa.
Umasikini au utajiri hauleti mzungu. Kumbuka hilo.Wacha kuteseka bana, bila akili za mzungu hao miungu wenu waarabu wangekua wanateseka kwa umaskini na kuvaa mikanzu na kuota mindevu kama ambavyo mnavyofanya wengi huko Pwani kwenye dini yao imezagaa.
Kama nyie Hapo Kenya na Huku Tanzania mnavyolishwa na kuvishwa na hao waisilamu?
Umasikini au utajiri hauleti mzungu. Kumbuka hilo.
Mbona hao. Miubgu yako wa kizungu hawajakupa wewe huo utajiri na unawaabudu?