Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
LINDA MTOTO WAKO DHIDI YA USODOMA
Sawa unaweza kubeza au kutukana huku ukisema kuwa we ulijuaje bila ya kwenda kuwatafuta? Ila ndugu yangu hauwezi ijua hii east africa kama umekaa kwenye kochi la shemeji 24/hrs ukisibiria kuangalia marudio ya jua kali na pia kidume chapati anajulikana tu hata kwa kumuangalia, so exposure is key.
Mombasa
Zanzibar
Tanga
Dar es Salaam
Pwani
Malindi
Kwa wale waliowahi kupata exposure ya maeneo haya utakutana na aina hii ya vijana kwa asilimia kubwa sana.
Mfano ukienda nightclubs za arusha na mwanza, hauwezi kukutana na vijana wa aina hii wanajishaua kwenye meza za mademu ila shuka hapo Tanga ndio utaona majaabu na pia nenda kwenye bichi za zanzibar hapo sijataja daslamu na mombasa baba lao ambao sasa ndio wamekuwa washehereshaji wa shughuli za wadada.