Kwanini Mishahara ya Watumishi wa Taasisi za Umma inapishana?

Sasa ujinsia unahusikaje hapo????
 
Taasisi zinazo zalisha hulipana pesa kubwa
 
Hisia nyingi kuliko logic.

Baada ya kukata pumzi unaanza kujitetea we ni mwanamke [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ww akil auna humu atujuani jinsi umeniita mm jamaa kivipi?mbona unaleta habari za kike hapa ushajua mimi mwanamke kwahyo nini????itafuta kuwa uliomba msaada jins ya kujiunga chuo?au itaongeza mishahara kwa watumishi wa umma wenye mishahara kandamizi?
 
Sasa hapo umeandika nini, zaidi ya hisia za kike kike.

Kuomba kwangu chuo na mishahara kuna hisiana nini we mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujaelewa kwasabab unaukike ndani yako ndo maana uelewi
Kumbe ukiwa na ukike haulewi[emoji23][emoji23][emoji23]

Na umejihami kabisa we ni mwanamke[emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio maana hata huelewi unaandika nini.

Ngoja nikuache, usinipotezee muda kufanya argument na mwanamke ambaye hana anachoelewa.

Zaidi ya kutapatapa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Medicine ipo tangu kuumbwa kwa dunia hawa madaktari wa sasa enzi hizo walikuepo natural healers physicians matabibu na waganga hawa wote walikua wakipewa kipaumbele na jamii zao
Medicine ni noble professional take it leave it
 
sasa mkuu unataka mimi nazalisha millioni kwa mwezi halafu nilipwe jero au? Si nitachukua jukumu la kujilipa mwenyewe (kuiba)...!
 
Afisa msitu unaendeleaje mkuu?
 
Attachments

  • Screenshot_20230607-114619.jpg
    32.7 KB · Views: 20
Medicine ipo tangu kuumbwa kwa dunia hawa madaktari wa sasa enzi hizo walikuepo natural healers physicians matabibu na waganga hawa wote walikua wakipewa kipaumbele na jamii zao
Medicine ni noble professional take it leave it

Medicine ni taaluma muhimu, hilo nalikubali.

Na ni kweli imekuwepo miaka na miaka, na ndio maana nikauliza kwani tangu na tangu tumeishi vipi, means imekuwepo tangu zamani sana.

Ninachokataa ni kusema eti madaktari ni muhimu kuliko kada nyingine.

Huu ni ugonjwa unaoaababisha hata matabibu kubagauna wao kwa wao, mara yule ni AMO au afisa tabibu sio daktari..yaani wanajiona wadogo zake Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…