Kwanini Mishahara ya Watumishi wa Taasisi za Umma inapishana?

Kwanini Mishahara ya Watumishi wa Taasisi za Umma inapishana?

Nakusahihisha mkuu usiseme ni tatizo la Tanzania Bali lipo duniani kote fairness utaikuta mbinguni pekee duniani wajanja wengi akikuzidi wa juu yako jua Kuna wa chini yako umemzidi
China japo hawajaweza asilimia 100 ila wamejitahidi kwa nn tusiwaige wachina tukafanya kwa namna yetu
 
Kwani bila madaktari hakuna afya inayoeleweka, tukiumwa tunakufa tu..tangu zamani watu walikua wanajifunguaje tangu enzi na enzi mpaka ukazaliwa wewe leo na kupata muda wa kutype hapa jf?

Shida watu wa afya mnajipaga umuhimu mkubwa sana, yaani mnajikutaga wadogo zake Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio we kwa akili yako unajua zaman hakukua na madaktar?
Au daktari mpaka umuone na stethoscope?
 
Umepita njia zako za panya umefel form four umepambana na madiploma huko sjui ulianza na certificate saiz unaongea ujinga hapa hiyo bachelor yenyewe sijui uko mwaka wa kwanza!!!ata avielewek alf unabishana hapa watu wanakukumbuka unajichoreshq tu hapa angalau mm watu awanifahamu ila ww tunakujua uliomba msaada humu ukiwa ujui chochote kuhusu bachelor.
1-Form four ni njia za panya?
2- madiploma sio?
3- "sjui ulianza na certificate" kumbe hujui nilianza na nini, na unadhani diploma wote walianza na certificate?
4- "iyo bachelor yenyewe sijui uko mwaka wa kwanza!!!" kumbe hujui
5- "ww tunakujua" kumbe unanijua 😁 😁
6-"ukiwa ujui chochote kuhusu bachelor." ningeuliza swali specific kama sikujua kuhusu bachelor?

Yaani we ndio unajichoresha jinsi ulivyo kua kiazi mbatata.
 
Umepita njia zako za panya umefel form four umepambana na madiploma huko sjui ulianza na certificate saiz unaongea ujinga hapa hiyo bachelor yenyewe sijui uko mwaka wa kwanza!!!ata avielewek alf unabishana hapa watu wanakukumbuka unajichoreshq tu hapa angalau mm watu awanifahamu ila ww tunakujua uliomba msaada humu ukiwa ujui chochote kuhusu bachelor.
😁😁😁

Umeshaishiwa braza, naona unatapatapa kama kuku aliyekatwa kichwa.
 
Kwahio we kwa akili yako unajua zaman hakukua na madaktar?
Au daktari mpaka umuone na stethoscope?
Akil yake ndo ilivyomtuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na pia akil yake imemtuma kuwa daktar hana umuhimu sana kama mlinzi wa bandarin.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

Umeshaishiwa braza, naona unatapatapa kama kuku aliyekatwa kichwa.
Hii sio mada niliowasilisha hapa,hili ni lako ww kwahyo ww ndo unatapatapa hapa kama una lolote kuhusu uwiano wa mishahara sema kama auna jipya kausha unajichoresha tu hapa
 
Kwahio we kwa akili yako unajua zaman hakukua na madaktar?
Au daktari mpaka umuone na stethoscope?
Kwani daktari ni nani?

Kwa mujibu wa MCT (Medical Council of Tanganyika), daktari ni kuanzia level ya degree (MD au dental surgery/ sina uhakika kuhusu bachelor ya clinical medicine), hii ni katika dhana ya kutibu ndio maana nime refer MCT.

Kwa hiyo japo hujasema zamani ni ipi, lets assume miaka 100 iliyopita kwa mazingira ya Tanzania hatukua na madaktari hasa wazawa.

Kwani wanaovaa stethoscope wote ni madaktari?
 
Akil yake ndo ilivyomtuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na pia akil yake imemtuma kuwa daktar hana umuhimu sana kama mlinzi wa bandarin.
Hiyo ni opinion zako na unajaribu kunilisha maneno😁😁
 
Hii sio mada niliowasilisha hapa,hili ni lako ww kwahyo ww ndo unatapatapa hapa kama una lolote kuhusu uwiano wa mishahara sema kama auna jipya kausha unajichoresha tu hapa
Sasa nani aliyeanza kuhamisha goli baada ya kuishiwa kati yangu na wewe, ujinga ni mzigo mzito😁😁😁
 
Unataka mwalimu apate bei gn kati hawajielew, tunawapandishia mishahara wanaojielewa tuu
Kumbe walimu awajielewi,angalau ww umejibu vizur sasa hii ndo sababu wanalipwa pesa kudunchu kwamba awajielewi vip kuhusu madaktari nao awajielew?
 
Rudi kasome comment za post yako ya kuomba muongozo usiniulize mm sikukutuma uje kuomba mwongozo humu na nisingekukumbuka ww ungenisumbua sana
Ila we jamaa ni kituko sana.

Si useme nilitia huruma kwenye nini?

Kumbe unakiri nakusumbua sana, mpaka unatafuta kichaka cha kujifichia[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ni mwanamke sio jamaa aisee
Sawa mama, nisamehe bure nimekosea kukupa dozi kubwa kuliko uwezo wako.

Nikiongeza hapa Kwasababu umeshataja jinsia, itakua ni ukatili wa kijinsia...ila nimeelewa why umeshindwa kujenga hoja na kuanza kutaka kufanya personal attacks ambayo nayo umeshindwa, ni kawaida ya wanawake kutumia hisia kuliko logic.

Nisamehe mama, ngoja nikuache ache kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom