Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Sekta ya elimu kwako haina umuhimu?Kwani ambao wamefundishwa vizuri wote ni Madaktari? Acha ufinyu wa fikra..
Ukweli ambao haupo tayari kuuridhia ni kwamba kuna kada ni muhimu mno kulinganisha na zingine na zinapaswa kupewa kipaumbele katika maslahi.