Unajua ni Hali huwa inawatokea hiyo kawaida wal sio mdhahaBaadhi ya wanawake wakiwa wajawazito wanabadilika.Wife ujauzito wa kwanza alikua anataka mda mwingi anione.Kwa sasa ana ingine ila ananiponda mpaka namwambia au hiyo siyo yangu?hata niogeje utasikia unanuka.Kunipa misosi ameongeza kipimo cha kunijali.Hivi nyie kina mama mnaigizaga au mnayofanya mnamaanisha???
Uwe na moyo mkuu hawa viumbe wanamapito mengi sana mungu awape uvumilivu ila mpende sana mkeoBaadhi ya wanawake wakiwa wajawazito wanabadilika.Wife ujauzito wa kwanza alikua anataka mda mwingi anione.Kwa sasa ana ingine ila ananiponda mpaka namwambia au hiyo siyo yangu?hata niogeje utasikia unanuka.Kunipa misosi ameongeza kipimo cha kunijali.Hivi nyie kina mama mnaigizaga au mnayofanya mnamaanisha???
Eti mdhaha !😂😂😂😂Unajua ni Hali huwa inawatokea hiyo kawaida wal sio mdhaha
Hapo kwenye fruto umeniacha hoi[emoji23][emoji23][emoji23]Kuishi na mke akiwa mjamzito Ni kazi sana
Wakwangu kila siku mara naumwa hiki mara kile
Mara na hamu na nyama choma ukileta anadonoa anacha
Mara sijisiki kufanya chochote
Mara nikifua naumwa
Nakisugue miguu sifikii
Mara we mbishi
Nipikie nkipika Mimi sitamani kula
Kila saa kunywa fruto
Hahahaha mkuuu uhakik kiswahil kundika sio poaEti mdhaha !😂😂😂😂
Utakuwa una kithembe manake sio kwa mdhaha huo
Kuishi na mke akiwa mjamzito Ni kazi sana
Wakwangu kila siku mara naumwa hiki mara kile
Mara na hamu na nyama choma ukileta anadonoa anacha
Mara sijisiki kufanya chochote
Mara nikifua naumwa
Nakisugue miguu sifikii
Mara we mbishi
Nipikie nkipika Mimi sitamani kula
Kila saa kunywa fruto
Naunga mkono.angalia wanao zalia makwao mbwembwe izo hakunaUkiachilia mbali na ujauzito kuwapelekesha kuna baadhi ya wanawake huwa wanafanya makusudi tu! Na hii inategemea na namna waume zao wanavyoishi nao pindi wakiwa siyo wajawazito!
Ila raha sana aisee na vitumbo vyao + hivyo vituko aisee wakuu naona mnapata burdaani sanaa ...Kuishi na mke akiwa mjamzito Ni kazi sana
Wakwangu kila siku mara naumwa hiki mara kile
Mara na hamu na nyama choma ukileta anadonoa anacha
Mara sijisiki kufanya chochote
Mara nikifua naumwa
Nakisugue miguu sifikii
Mara we mbishi
Nipikie nkipika Mimi sitamani kula
Kila saa kunywa fruto
Mkuu zipo hakyanani kuna jamaa yangu yeye wa kwake daily alikuwa anataka maji ya limao pamoja na matango kila sikuuuuu jamaa aliwekesha order ya hivyo vitu , na bado sasa mambo mambo mengine ya mimba duh jamaa alikonda mbali ya kuwa binti alikuwa kwao.Naunga mkono.angalia wanao zalia makwao mbwembwe izo hakuna
Hapo mwenyewe unaona rahaaa kweli kweli 😂.Nilikuwa siamini mpaka nlipotafuna mabarafu mwanzo wa mimba mpaka mwisho
mvumilie yanayowezekana yasiyowezekana mpotezee
Ila kwenye harufu inatesa sana basi tu
pole sisterNilikuwa siamini mpaka nlipotafuna mabarafu mwanzo wa mimba mpaka mwisho
mvumilie yanayowezekana yasiyowezekana mpotezee
Ila kwenye harufu inatesa sana basi tu