Kwanini mkiwa wajawazito mnakuwa hivi?

Kwanini mkiwa wajawazito mnakuwa hivi?

Baadhi ya wanawake wakiwa wajawazito wanabadilika.Wife ujauzito wa kwanza alikua anataka mda mwingi anione.Kwa sasa ana ingine ila ananiponda mpaka namwambia au hiyo siyo yangu?hata niogeje utasikia unanuka.

Kunipa misosi ameongeza kipimo cha kunijali.Hivi nyie kina mama mnaigizaga au mnayofanya mnamaanisha???
Wee kubali unanuka
 
Back
Top Bottom