Kutafuna yaani nagandisha maji natafuna yakishagandapole sister
kutafuna barafu au kumumusa/kunyonya?
mm wangu alinitesa sana kwa mtoto wa pili nilifua kila kitu na kupika (msiniulize nilifua nini)
Eeh,asa huduma muhimu anazipatajeHata waliopata mimba makwao huu ufala hawana
Mi mke akiwa na mimba nampeleka kwao mpaka ajifungue
Kama mimi nkiwa na mimba nataka mgegedo hasa miezi mitatu ya mwanzo,je mkeo hapati hali kama hyo?Hata waliopata mimba makwao huu ufala hawana
Mi mke akiwa na mimba nampeleka kwao mpaka ajifungue
Aaah hata mwenyewe mimba nshabeba ila sikufanya upuuzi huo,na kuna mda unatakiwa ujikaze siyo kujiendekeza we barafu sa nane za usiku ndo nini,mwenzio hata kutapika unaweza usijue kama huwa natapika kwa jinsi navojiweka na kazi nyingi nafanya mwenyeweIgiza wewe kama ni rahisi
Atazipata tu akiwa chini ya uangalizi wazazi Wake huku gharama zote zikiwa ni za kwanguEeh,asa huduma muhimu anazipataje
Nadhani mtakuwa wanawake mnatofautiana japo bado haijawa sababu ya kutomuondoa akajifungulie kwaoKama mimi nkiwa na mimba nataka mgegedo hasa miezi mitatu ya mwanzo,je mkeo hapati hali kama hyo?
Mmh we dictator,au utakuwa na mchepuko wa kudumuu,ila mi sikubali yaani m nihangaike we umelala tu hapana lazima tuishi wote ili mara moja moja ujue uchungu wa mimba,maramoja moja nikuamshe hata sa saba za usiku weeNadhani mtakuwa wanawake mnatofautiana japo bado haijawa sababu ya kutomuondoa akajifungulie kwao
Nijue uchungu wa nini wakati wewe ndo umebeba hio mimba ni maumbile yenu yanataka iwe hivyo .acheni kutumia mimba kama kigezo cha kutuadhibuMmh we dictator,au utakuwa na mchepuko wa kudumuu,ila mi sikubali yaani m nihangaike we umelala tu hapana lazima tuishi wote ili mara moja moja ujue uchungu wa mimba,maramoja moja nikuamshe hata sa saba za usiku wee
Sasa anakuwa na tofauti gani na mtu alobebea mimba kwao yaan mimba haina mwenye nayo(tena mke kabisa m nsingeenda)Nijue uchungu wa nini wakati wewe ndo umebeba hio mimba ni maumbile yenu yanataka iwe hivyo .acheni kutumia mimba kama kigezo cha kutuadhibu
Yaani lazima niondoe mtu kinguvu siwezi kubali ujinga
Afadhali ya wewe.....kaka yangu alihama kwake baada ya shemeji kuwa mjamzito kwa mara ya kwanza tu. Shemeji kila akimuona kaka alikuwa anamkimbiza na kisu eti alitaka kumuua kwa kumtesa na ujauzito. Sasa mtoto ana miaka 7 nyumba iko shwari kabisa, kama na shemeji wako na raha zao.Baadhi ya wanawake wakiwa wajawazito wanabadilika.Wife ujauzito wa kwanza alikua anataka mda mwingi anione.Kwa sasa ana ingine ila ananiponda mpaka namwambia au hiyo siyo yangu?hata niogeje utasikia unanuka.Kunipa misosi ameongeza kipimo cha kunijali.Hivi nyie kina mama mnaigizaga au mnayofanya mnamaanisha???
pole mkuu ila hapo anapotamani chakula fulani au kinywaji fulani hiyo ni hali ya kawaida kwa kinamama wajawazito ili kwa hivyo vingine naweza sema anaigiza au asiingize hiyo pia inachangiwa na wewe mwanaume wenda unamdekeza sana, ila naomba akihitaji kitu cha kula kama unauwezo umpatie lakn kama huna huwezo hata kiumbe kilichopo ndani anaona na mungu pia anaona lakn hayo mengine niwewe tu kupenda fanya maana nimeona wanawake wengi wakiwa wajawazito huwa wanapenda kuwajaribu waumezao kuona utafanyajeKuishi na mke akiwa mjamzito Ni kazi sana
Wakwangu kila siku mara naumwa hiki mara kile
Mara na hamu na nyama choma ukileta anadonoa anacha
Mara sijisiki kufanya chochote
Mara nikifua naumwa
Nakisugue miguu sifikii
Mara we mbishi
Nipikie nkipika Mimi sitamani kula
Kila saa kunywa fruto
Sijui kwa nini anapenda kunywa icho kinywaji kama mtoto[emoji3][emoji3]Hapo kwenye fruto umeniacha hoi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah inafika wakati unapitia pahali kupoteza muda kiongozi. Japo wanachekesha mana si tayari unajua nini kinampelekesha na before hakua hivyoIla raha sana aisee na vitumbo vyao + hivyo vituko aisee wakuu naona mnapata burdaani sanaa ...
Na hili nimelifuatilia kwa makini nimegundua kila kipindi na vituko vyake mfano mwanzo na Sasa Ni tofautipole mkuu ila hapo anapotamani chakula fulani au kinywaji fulani hiyo ni hali ya kawaida kwa kinamama wajawazito ili kwa hivyo vingine naweza sema anaigiza au asiingize hiyo pia inachangiwa na wewe mwanaume wenda unamdekeza sana, ila naomba akihitaji kitu cha kula kama unauwezo umpatie lakn kama huna huwezo hata kiumbe kilichopo ndani anaona na mungu pia anaona lakn hayo mengine niwewe tu kupenda fanya maana nimeona wanawake wengi wakiwa wajawazito huwa wanapenda kuwajaribu waumezao kuona utafanyaje
Kuishi na mke akiwa mjamzito Ni kazi sana
Wakwangu kila siku mara naumwa hiki mara kile
Mara na hamu na nyama choma ukileta anadonoa anacha
Mara sijisiki kufanya chochote
Mara nikifua naumwa
Mara Nikisugua miguu sifikii
Mara we mbishi
Mara leta mkono mtoto kacheza Sasa ivi
Mara Nipikie nkipika Mimi sitamani kula
Mara Kila saa kunywa fruto
N.K...............