Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Ngojeni ni wambie watu wengi hawajajuwa kwa nini hizi tafiti zinaonesha hivi
Kwanza kabisa tujiulize mkoa wa njombe unawakazi wangapi halafu jiulize dsm inawakazi wangapi?
Kinacho fanyika nikwamba wakati watu wa miradi ya ukimwi wakienda vijijiini kupima watu serekali ya kijiji inaita watu wote wapime kwa nguvu wala sio hiali halafu wakija dsm wanaema watu wapime kwa hiali utapataje majibu sahihi
Dsm Wakazi 3milion
Njombe wakazi 1milion
Bado hujanidangany kuwa njombe inaongoza labda uniambie mkoa mzima wameathilika
La kupima kwa nguvu mikoani SIO KWELI HATA KIDOGO.
Ila tu watu wa vijijini huamasika kirahisi kuliko waishio kwenye miji mikubwa na Majiji.
Nimefanya sana uhamasishaji wa kupima kwa hiari bila kutumia kitisho chochote.