Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

mi njombe ndo home cha kwanz kabisa njombe wanawake ni washamba hawajui kukataa ukiwa deleva wa chombo chochote hata iwe toyo wanajua ww tajiri kamwe hatokataa pia wanawake wengi wnjombe ni wachafu yaani anaweza akalala na huyu akaunga kwa mwengine bila kuoga na ndo maana magonjwa km kaswende yapo kwa wingi sana kingine wanatembea sana kufanya kazi za ndani ndo huko wanarudi na magonjwa ila kikubwa zaidi watu wanjombe wengi hawajatahiriwa na hili ndio tatzo kubwa
 
Baridi ndio sababu kubwa ya watu kugegedana Njombe, nadhani ndio mkoa wenye baridi kali kuliko yote tz.
 
Baridi ndio sababu kubwa ya watu kugegedana Njombe, nadhani ndio mkoa wenye baridi kali kuliko yote tz.
Ingekua baridi ndio sababu basi nchi zenye baridi kama Rusia na nyinginezo Europe sidhani kama kungekua na watu! Wote wangakwisha kufa kwa Ukimwi.
 
Sawa mkuu, hiyo ni takwimu ya "majiji" ya Africa ingawa hatuna authenticity ya hizo takwimu. Ila kwa Tanzania bado Njombe inaongoza.
wanafanya idadi ya population kwa asilimia mkuu ila fahamu wagonjwa wa ukimwi wako wengi dar na mbeya kuliko njombe kama unavo fikiri
 
wanafanya idadi ya population kwa asilimia mkuu ila fahamu wagonjwa wa ukimwi wako wengi dar na mbeya kuliko njombe kama unavo fikiri
Mkoa wa Dar una watu 5million, 6.9% takwim zinaonyesha wako na maambukiz, hao ni kama watu 345000.Mkoa wa Njombe baada ya kuvunjwa kutoka Iringa, una watu kama 800000 tu. Kwa silimia hizo tajwa utakuta ni watu kama 120000 tu ndiyo wako na maambukizi. Hivyo nakubaliana na ukweli kuwa Dar ina watu wengi ambao ni HIV +ve, lakini kwa kuwa Dar ina watu wengi, hiyo inakua sawa na soda kuijaza kwenye pipa la maji.
Kiufupi, kinachoangaliwa ni asilimia kutokana na idadi ya wakazi
 
Mtoa mada naomba niunganishe na hili swali pia, Je ni mkoa gani ambao hauna waathirika wengi wa Ukimwi na nini sababu ya kutokua na idadi kubwa ya waathirika wengi kwa mkoa huo?
Pemba
 
Njombe Hasa Hasa Kule Makete Ndo Kunaongoza Kwa Maambukizo Ya Ukimwi,sababu Hasa Ni Hali Ngumu Ya Uchumi Inayotokana Na Hali Ya Hewa Na Udongo Wa Makete Kutosupport Kilimo Hvyo Kufanya Vijana Weng Kukimbilia Dar Es Salaam Kusaka Maisha Na Huko Ndiko Wanakoambukizwa Na Kurud Nao Makete!.Idadi Kubwa Ya Maho
hoja dhaifu sana kama mtoto wa darasa la 5 anajieleza
 
Mtafute mkoa wenye idadi kubwa ya waathirika, mfano waseme dar wako wagonjwa wangapi, njombe wangapi, mbeya wangapi? ....mtapata jibu tofauti
waambie hawa hawajui dar ndo inaongoza kwa wagonjwa..ikifatiwa na mbeya
 
wanafanya idadi ya population kwa asilimia mkuu ila fahamu wagonjwa wa ukimwi wako wengi dar na mbeya kuliko njombe kama unavo fikiri

Ulichosema ni kweli mkuu. Kinachoangaliwa hapo ni "rate", idadi ya waathirika kwa jumla ya watu kwa mkoa mzima.
Hizi takwimu zina maana yake pia. Moja ni kwamba hii inakuonesha kuwa rate ikiwa kubwa ni rahisi sana kufanyika maambukizi mapya.
Lakini hata tukisema tuangalie mikoa yenye idadi sawa na mkoa wa Njombe bado Njombe itaongoza kwa waathirika na hapo swali litabakia pale pale KWANINI NJOMBE(ingawa wadau wameshalitolea maelezo)?
Mwisho kabisa naomba nikuulize, Dar ingekuwa na 14.8% ya maambukizi Tanzania ingekuwa na hali gani?
 
Hospitali kubwa kama ikonda watu wanaotibiwa ni wakutoka mikoa mbalimbali Takwimu ya upimaji inaandikwa Njombe pia waliopima wengi hupima hospital I zaidi ya moja na Takwimu huchukuliwa upya, pia usahihi Wa Takwimu una mashaka kwa kukosa mfumo sahihi Wa kupata na kutunza Takwimu, Pia wengine wanachuliwa halo hiyo ili kupata fedha za misaada kutoka kwa wafadhiri kama ilivyokuwa Makete miaka ya 2007/2010
 
Takwimu nazo za kuangalia. Tunaposema sehemu fulani inaongoza, kwangu mimi, idadi ya watu lazima iwe sawa halafu upande mmoja waathilika wawe wengi. Huku kuongoa kwa asilikia siyo realistic sana... kwa mfano, mmoja katika wawili ni 50% na wawili katika wanne ni 50%. Sasa hapo kusema maambukizi yapo sawa pande hizo mbili nayo nna mashaka nayo
 
Back
Top Bottom