Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Oct 31, 2024 #1 Kwanini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi? Mkojo una tofauti gani na jasho? Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi? Kuna tatizo gani mwanamke akienda katika ibada katika siku zake kama amevaa pedi ?
Kwanini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi? Mkojo una tofauti gani na jasho? Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi? Kuna tatizo gani mwanamke akienda katika ibada katika siku zake kama amevaa pedi ?
Fabian Vitus JF-Expert Member Joined Jul 18, 2022 Posts 5,828 Reaction score 7,532 Oct 31, 2024 #2 Yoda said: Kwa nini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi? Mkojo una tofauti gani na jasho? Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi? Kuna tatizo gani mwanamke akienda katika ibada katika siku zake kama amevaa pedi ? Click to expand... Hii ndio kwanza naisikia leo
Yoda said: Kwa nini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi? Mkojo una tofauti gani na jasho? Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi? Kuna tatizo gani mwanamke akienda katika ibada katika siku zake kama amevaa pedi ? Click to expand... Hii ndio kwanza naisikia leo
M MasterGamaliel JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 923 Reaction score 1,001 Oct 31, 2024 #3 Marehemu waliotangulia! Waliwatangulia mpaka Leo. Wakawabebesha na kutokujua kwao!
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Oct 31, 2024 Thread starter #4 MasterGamaliel said: Marehemu waliotangulia! Waliwatangulia mpaka Leo. Wakawabebesha na kutokujua kwao! Click to expand... Unamaanisha nini?
MasterGamaliel said: Marehemu waliotangulia! Waliwatangulia mpaka Leo. Wakawabebesha na kutokujua kwao! Click to expand... Unamaanisha nini?
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Oct 31, 2024 #5 Swali Zuri sana ...
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,496 Reaction score 8,491 Oct 31, 2024 #6 Mkojo tena!!