Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio kwanza naisikia leoKwa nini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi?
Mkojo una tofauti gani na jasho?
Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi?
Kuna tatizo gani mwanamke akienda katika ibada katika siku zake kama amevaa pedi ?