Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,

IMG_20250414_080446_998.jpg

IMG-20250414-WA0002.jpg

Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

IMG-20250414-WA0005.jpg

Screenshot_20250414_065216_Chrome.jpg
Screenshot_20250414_065346_Chrome.jpg

​
Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali itupatie majibu.
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wanancgi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,


Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?
Ukijua sababu itakusaidia nini
 
Back
Top Bottom