Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Ili kuficha hizi taarifa ndio maana hata kiPengere cha kutoa taarifa za umiliki kwenye mifumo ya BIMA yote wamekiondoa kwa kuhofia mambo yao mengi kugundulika hii nchi wezi wamelelewa sana na manalindwa sana CCM ndiyo msingi wa tatizo
Duuu!!! Kumbe hiki ndicho kinachoendelea ? Ila ccm ni wajinga Sana, hawa watu wapo Kwaajili ya kuiba Tu
 
Mbona hakuna jina la mmiliki?
TBEA ndiyo wamempa hiyo gari kumbuka hao TBEA ni wazabuni wa tanesco hiyo ni zawadi alipewa mkurugenzi
20250414_090141.jpg
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wanancgi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,


Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali ituoatie majibu.
Mwenyewe nilishangaa kwanini gari halina namba. Sasa. Nimeelewa ni kwanini.
 
Kama alikuwa kawekwa mfukoni na hilo kampuni la kitapeli akafie mbele!

Hivi angekaa na uadilifu wake akawa anaiba kwa staha angalau kwa mwaka anaiba zake milioni 100 tu angepungukiwa na nini? Mpaka anakuwa fisi wa kuweka mazingira ya kuwapora watz wenzie mabilioni ya pesa kupitia kampuni ya kitapeli?
Mkurugenzi mtendaji wa Tanesco amefia kwenye gari la Mzabuni TBEA. CO. LIMITED ambaye alipewa Sh53. 71 billion.

Kwa mujibu wa CAG kampuni hiyo ya TBEA . CO . LIMITED ni kampuni ambayo HAINA VIGEZO.

Ndiomaana walikimbilia Kutoa plate number Baada ya ajali kwaajili ya mambo kama haya?
 
DUh aise hili linafikirisha sana sana...yan linafikirisha sana.

Hapo kuna jambo nyuma ya pazia ambalo hatulijui ila kwa kuwa hii inchi ni shamba la bibi basi hakuna litakalojulikana maana ni mnyonyoro wa ulaji wa matumbo ya wengi.

May his soul rest in peace.
System imejaa majangili tupu
 
Mkurugenzi mtendaji wa Tanesco amefia kwenye gari la Mzabuni TBEA. CO. LIMITED ambaye alipewa Sh53. 71 billion.

Kwa mujibu wa CAG kampuni hiyo ya TBEA . CO . LIMITED ni kampuni ambayo HAINA VIGEZO.

Ndiomaana walikimbilia Kutoa plate number Baada ya ajali kwaajili ya mambo kama haya?
Rushwa tupu Mungu kawaumbua asee, hii nchi inaliwa haswa
 
Kama alikuwa kawekwa mfukoni na hilo kampuni la kitapeli akafie mbele!

Hivi angekaa na uadilifu wake akawa anaiba kwa staha angalau kwa mwaka anaiba zake milioni 100 tu angepungukiwa na nini? Mpaka anakuwa fisi wa kuweka mazingira ya kuwapora watz wenzie mabilioni ya pesa kupitia kampuni ya kitapeli?
Hawezi kuiba kidogo hivyo 100M kwani amekuwa cashier? yeye akiiba kdg kwa mwaka ni 100B, nchi inatafunwa hii usione watu wanasema mitano tena kwa mama
 
Mtu kama huyo marehemu ukimwambia No reforms no election hawezi kukuelewa.

Bima ya gari tu analipia 14 million. Hawa ndio wanaoishi nchi ya.ahadi na kina mwijaku.

Kungekuwepo na investigagive journalism ilitakiwa habari ya yeye kutembelea vx la mzabuni kulete conflict of interest na ufisadi uwekwe wazi.
 
Back
Top Bottom