Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Big suppliers wanaanzaga kuhonga kuanzia Wizarani…. Kwa katibu kisha CEO… ukiona hivyo hiyo ni Chain

Hawezi kula CEO pekee yake….hapo unakuta Waziri alishakula chake na katibu pia

Zawadi za magari hupewa ma CEO… mawaziri ni USD

UTAPATA JIBU WHY REPORT ZA CAG HAZIFANYIWI KAZI NA HAZINA IMPACT
 
Mtu kama huyo marehemu ukimwambia No reforms no election hawezi kukuelewa.

Bima ya gari tu analipia 14 million. Hawa ndio wanaoishi nchi ya.ahadi na kina mwijaku.

Kungekuwepo na investigagive journalism ilitakiwa habari ya yeye kutembelea vx la mzabuni kulete conflict of interest na ufisadi uwekwe wazi.
Uzuri wakishakula wakianza kushtukizwa wanakabiliana kimfumo hivi.
 
Hata kama wanatoa gari, kwa nini isisajiliwe kwa SU badala yake inasajiliwa private!!??
Kwa nini GM atembelee gari ambayo si ya ofisi akiwa na dereva wa ofisi!!??
Hizo Gari Huwa kampuni wanainguza kwa matumizi yao. Baadae KWENYE MOJA MBILI TATU……. CEO anapigiwa simu….. mkuu kuna gari hapa imekaa tu haina matumizi….. tunakuletea … utaibadili registration tu

Ndio inakuaga hivyo, unapewa V8 mpya….. hapo kila mtu yupo kazini
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wanancgi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,


Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali ituoatie majibu.
Kwa nini walizitoa hizo number plates?
 
Hizo Gari Huwa kampuni wanainguza kwa matumizi yao. Baadae KWENYE MOJA MBILI TATU……. CEO anapigiwa simu….. mkuu kuna gari hapa imekaa tu haina matumizi….. tunakuletea … utaibadili registration tu

Ndio inakuaga hivyo, unapewa V8 mpya….. hapo kila mtu yupo kazini
Hata mie ningeichukua, kuikataa ni disaster, unakuwa uko against the powerful underworld, unaonekana mnoko wanakumaliza kwa style yoyote
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wanancgi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,


Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali ituoatie majibu.
Hakika ufisadi umetamalaki kipindi hiki mpaka kerona bunge lenyewe ndilo lile dah. Tutaendelea kumkumbuka mh mbunge Mpina peke yake na kwasababu wengine wanaimba wimbo wa mama kila siku hakuna kinachofanyika. Kuna haja ya kuunga mkono ideology ya CHADEMA "NO REFORM NO ELECTION"
WANANCHI TUAMKE
 
Kama alikuwa kawekwa mfukoni na hilo kampuni la kitapeli akafie mbele!

Hivi angekaa na uadilifu wake akawa anaiba kwa staha angalau kwa mwaka anaiba zake milioni 100 tu angepungukiwa na nini? Mpaka anakuwa fisi wa kuweka mazingira ya kuwapora watz wenzie mabilioni ya pesa kupitia kampuni ya kitapeli?
Funguka zaidi mkuu
 
Back
Top Bottom