Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Mtu kama huyo marehemu ukimwambia No reforms no election hawezi kukuelewa.

Bima ya gari tu analipia 14 million. Hawa ndio wanaoishi nchi ya.ahadi na kina mwijaku.

Kungekuwepo na investigagive journalism ilitakiwa habari ya yeye kutembelea vx la mzabuni kulete conflict of interest na ufisadi uwekwe wazi.
 
Aisee technology ogopa sana mambo yote yanafichuliwa na hii waziwazi
 
TBEA ndiyo wamempa hiyo gari kumbuka hao TBEA ni wazabuni wa tanesco hiyo ni zawadi alipewa mkurugenzi View attachment 3303528
 
Acha jokes dereva hawezi tena bungo hapo lazima alifia ndani
Ukitaka kujua wamemuua

Police inasema dereva wa lori scania alikimbia hajulikani halipo na wamemfutia makosa kuwa hana hatia

Muendesha baiskeli ni mtu wa kufikirika
 
Sahihi ....jina la kampuni haliendani na majina ya kichina
 
Mkurugenzi mtendaji wa Tanesco amefia kwenye gari la Mzabuni TBEA. CO. LIMITED ambaye alipewa Sh53. 71 billion.

Kwa mujibu wa CAG kampuni hiyo ya TBEA . CO . LIMITED ni kampuni ambayo HAINA VIGEZO.

Ndiomaana walikimbilia Kutoa plate number Baada ya ajali kwaajili ya mambo kama haya?
 
Wa kutujibu wapo🌚🌚
 
DUh aise hili linafikirisha sana sana...yan linafikirisha sana.

Hapo kuna jambo nyuma ya pazia ambalo hatulijui ila kwa kuwa hii inchi ni shamba la bibi basi hakuna litakalojulikana maana ni mnyonyoro wa ulaji wa matumbo ya wengi.

May his soul rest in peace.
 
bado wapo kwenye majonzi, pls subiri mpaka baada ya arobaini, ndyo culture yetu waTanzania
 
Oh! Yaweza kuwa ilikuwa ni zawadi ya mfungo wa Ramadhani/Kwaresma alikuwa anaiwaisha Musoma
 
Mambo ya ajabu sana
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wanancgi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,


Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali ituoatie majibu.
Hapo mbona sioni kama kamba imezidi sana urefu, kamba ni ileile ya elastiki mita 20 ukiivuta inafikiamita 27 lakini ni ileile ya mita 20, kwahiyo hajazidisha urefu bado yumo ndani ya urefu wa kamba yake.
 
Kifo si malipo maana kifo kipo tu. Malipo ni hapahapa unakuwa hai huku ukiyakabili malipo yako.
..ukifa leo badala ya mwaka kesho si malipo hayo? si vifo vyote vinatokea kwa wakati binadamu aliopangiwa na muumba vingine vinawahi kutokana na matendo yako.
 
Kama alikuwa kawekwa mfukoni na hilo kampuni la kitapeli akafie mbele!

Hivi angekaa na uadilifu wake akawa anaiba kwa staha angalau kwa mwaka anaiba zake milioni 100 tu angepungukiwa na nini? Mpaka anakuwa fisi wa kuweka mazingira ya kuwapora watz wenzie mabilioni ya pesa kupitia kampuni ya kitapeli?
Unamuonea Tu jamaa. Magufuli Hadi Mauti Yake kaiba zaidi ya trillion 30 na bado unalialia humu eti shujaa. Jiulize Kwa nini mungu aliamua kumkatisha Maisha. Angekuwa hai Hadi leo angeiba Karibu uchumi wote wa nchi. Yani lijitu lako toka ubunge, uwaziri Hadi urais ni kuiba tuuu.

Am back maamee

Nyau de adriz
 
Ndinga imelipiwa BIMA kubwa ya premium
1744616779564.png


Angalau gari ilikuwa na comprehensive italipwa. Ila tuseme wazi, kitendo cha Mkurugenzi wa TANESCO kutumia hii gari ilikuwa ni conflict of interest. Na huenda alishapewa kama zawadi - zawadi ya Tshs 500m inapaswa kuchunguzwa na Takukuru.

Lakini ndio mtindo wa viongozi wetu.Utakuta hawa mawaziri nk wanakasimiwa sana na mashirika kama malipo ya 10%

Sasa nimejua kwa nini Polisi waliitoa namba haraka haraka - walikuwa wanaficha uovu!
 
Hakika ufisadi umetamalaki kipindi hiki mpaka kerona bunge lenyewe ndilo lile dah. Tutaendelea kumkumbuka mh mbunge Mpina peke yake na kwasababu wengine wanaimba wimbo wa mama kila siku hakuna kinachofanyika. Kuna haja ya kuunga mkono ideology ya CHADEMA "NO REFORM NO ELECTION"
WANANCHI TUAMKE
Umeandika vizuri ila kumuingiza Luhaga Mpina umeharibu. Mpina alileta umaskini kanda ya ziwa baada ya kuchoma nyavu za wavuvi wadogowadogo wakati wa Magufuli
 
Back
Top Bottom