Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,


Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali itupatie majibu.
Hata ingekuwa ni wewe Huo MVIEITE ungeuacha MZEE
 
..ukifa leo badala ya mwaka kesho si malipo hayo? si vifo vyote vinatokea kwa wakati binadamu aliopangiwa na muumba vingine vinawahi kutokana na matendo yako.
Hichi unachosema kingekuwa sahihi kama anayeenda kufa angejua kuwa anaenda kufa mapema kama adhabu.

Kufa si adhabu ya kipimo cha malipo maana wote tutakufa na tukifa sidhani kama tunajua tunaadhibika.

Adhabu ni ile ya kusota ukiwa hai huku unajua hichi kinachoendelea ni adhabu. Adhabu ya aina gani ambayo anayeadhibiwa hana habari na wengine woote wataipitia?
 
Mtu kama huyo marehemu ukimwambia No reforms no election hawezi kukuelewa.

Bima ya gari tu analipia 14 million. Hawa ndio wanaoishi nchi ya.ahadi na kina mwijaku.

Kungekuwepo na investigagive journalism ilitakiwa habari ya yeye kutembelea vx la mzabuni kulete conflict of interest na ufisadi uwekwe wazi.
John Allan Namu
Purity Mwambya
Mohamed Ali
 
Nchi imejaa wala rushwa tupu mkuu, kumbe gari alipewa na mkandarasi TBEA asee, maanake bodi yote wamehongwa magari halafu unasema kuna TISS/TAKUKURU
TISS ndio genesis ya ufisadi na rushwa zote Tanzania kuanzia ndani ya ccm..ndio maana hawataki katiba mpya ambayo pamoja na mambo mengine itapunguza au kuondoa mamlaka ya uteuzi km ilivyo sasa..wao ndio wanafanya vetting ya wateuliwa na hivyo huwa wanaweka watu wao ambao wanawatumia kufanya wizi na ufisadi..rejea mambo ya MSD na mashirika mengine ya serikali..na ndio sababu hata GAG atoe taarifa za wizi kila siku ndani ya serikali hutakaa uone hatua zozote zinachukuliwa, sababu mafisadi wako hapo hapo ikulu!
 
Hichi unachosema kingekuwa sahihi kama anayeenda kufa angejua kuwa anaenda kufa mapema kama adhabu.

Kufa si adhabu ya kipimo cha malipo maana wote tutakufa na tukifa sidhani kama tunajua tunaadhibika.

Adhabu ni ile ya kusota ukiwa hai huku unajua hichi kinachoendelea ni adhabu. Adhabu ya aina gani ambayo anayeadhibiwa hana habari na wengine woote wataipitia?
..wewe unasoma kuran au Biblia? mfano hao aliowaacha familia wanasherehe kwa kuondoka kwake? si lazima adhabu uibebe wewe, adhabu inaweza kuwa kwa walio nyuma yako kutokana na matendo yako na wewe ukaikuta adhabu unayostahili huko unakokwenda.
 
TISS ndio genesis ya ufisadi na rushwa zote Tanzania kuanzia ndani ya ccm..ndio maana hawataki katiba mpya ambayo pamoja na mambo mengine itapunguza au kuondoa mamlaka ya uteuzi km ilivyo sasa..wao ndio wanafanya vetting ya wateuliwa na hivyo huwa wanaweka watu wao ambao wanawatumia kufanya wizi na ufisadi..rejea mambo ya MSD na mashirika mengine ya serikali..na ndio sababu hata GAG atoe taarifa za wizi kila siku ndani ya serikali hutakaa uone hatua zozote zinachukuliwa, sababu mafisadi wako hapo hapo ikulu!
CAG mwenyewe ni mla rushwa balaa
 
Mtu kama huyo marehemu ukimwambia No reforms no election hawezi kukuelewa.

Bima ya gari tu analipia 14 million. Hawa ndio wanaoishi nchi ya.ahadi na kina mwijaku.

Kungekuwepo na investigagive journalism ilitakiwa habari ya yeye kutembelea vx la mzabuni kulete conflict of interest na ufisadi uwekwe wazi.
Yes umesema jambo la maana, Investigative Journilism hamna kabisa Nchi hii kwa muda mrefu sasa! Mwisho nakumbuka ilikuwa enzi za akina Stanley Kamana Yule aliye ibua skendal ya Loliondgate- Warabu kuchukua Mbunga tengefu ya Loliondo. Eriki Kabendera kajaribu lakini aliishia Gerezani.
Mambo mengi yanayo ibuliwa na CAG, the "Fourth Estate" wangekuwa wanahabarisha raia wa kawaida wa Nchi hii ambao hawawezi kusoma technikal reports za CAG.
 
Back
Top Bottom