Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,586
Gen Z fanyeni kama Kenya?" Nendeni na hilo mkalitazame"
Gen Z fanyeni kama Kenya?" Nendeni na hilo mkalitazame"
Ujue ucku una mauzauza mengi kama huna Yesu moyoni. Kwa vile huyu Kiongozi alikuwa anatoka kwene mambo ya giza uwezekano wa kukutana na mwendesha basikweli ucku wa ma8 c ajabu. You reap what you sow!Huyu muendesha baiskeli usiku wa manane alikuwa anatoka wapi, anaenda wapi!! Mweh!
Tanzania hii ninayoijua mm, Gen Z itatoka wapi sheikh??Gen Z fanyeni kama Kenya?
Zikipotea hela za michango ya wananchi milioni moja na nusu utajua hujui,TAKUKURU wako na wewe,hizi taasisi zote ni upuuzi mtupuKwahiyo TAKUKURU wao kazi yao ni kukamata waratibu tarafa?!
Punguzeni ufukunyukuWakuu,
Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.
Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,
Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.
Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?
Tunaomba serikali itupatie majibu.
🤔🤔🤔🤔🤔Unaweza kukuta inahusiana na "malipo ni hapahapa duniani"
Kasome report ya CAG inayojadiliwa leo Bungeni ndo utajua hujui kama kuna TAKUKURU!! Hicho ni kijiwe tu cha ulaji wa Serikali ya CCM.. Mama alishawapa ruksa: UNAKULA KULINGANA NA UREFU WA KAMBA YAKO!!!Zikipotea hela za michango ya wananchi milioni moja na nusu utajua hujui,TAKUKURU wako na wewe,hizi taasisi zote ni upuuzi mtupu
Ushauri mzuri sanaCopy kutoka mahali, sijui mwandishi ni nani ila naamini inaweza kusaidia wachache wanaotaka...
UKIWA NA GARI BARABARANI ONGEA VIZURI NA RAIA WA KUDUMU WA BARABARANI NA HESHIMU BARABARA
Kuna taarifa za Ajali na Vifo nimezisikia na zinahusu Watumishi wa Serikali... Nimeona nije na ushauri maridhawa kwa watu wanaotumia hasa barabara kila siku na ni Watumishi wa Serikali...
Siku moja nilikuwa Arusha maeneo ya Njiro ile Moshi Road tukiwa na gari STL Pick Up Nyeupe... Mie nikiwa Boss na hapa makutano ya barabara (TRIPPLE A) kuna Mataa... Dereva hakuzingatia maelekezo ya taa bali alipita kwa kuangalia hali halisi... Mbali kule kulikuwa na Askari wa Usalama barabarani na aliuona ule UTOPOLO ambao tulifanya...
Tulipofika kwake akatusimamisha na swali la kwanza akamuuliza Dereva... Umefanya nini?? Jamaa akaanza kujitetea sijui namuwahisha boss... Katika mazungumzo Askari akasema... Unapokuwa barabarani ongea na Raia wa Kudumu wa Barabarani.... Dereva akajibu Ndiyo Mkuu... Kisha Askari akamuuliza.. Unawajua Raia wa kudumu wa Barabarani?? Ikawa mtihani... Nami nakuambia leo... Barabarani ongea vizuri na Raia wa kudumu wa barabarani na heshimu barabara....
Hizi barabara na magari hawajui cheo cha mtu... Wao wana Sheria zao na miongozo Katiba na Kanuni zao.... Ukizingatia basi wewe na gari wote mtakuwa salama...
Hebu fikiria wewe ni Mkurugenzi wa Taasisi iwe kubwa au ndogo au nyeti au kivipi... Juzi juzi Tumenpoteza DAP wa Msajili wa Hazina na sasa tushamsahau, tunapoteza viongozi wengi na tunawashau na ofisi zinawasahau... Halafu Serikali inanunua magari mengine...
Sasa ukiwa Kiongozi ama dereva wa Serikali mkiwa barabarani kumbukeni mambo yafuatayo
1. Barabara na gari mlilolopo na magari mengine hawajui vyeo vyenu na hamuwezi kuwatisha...
2. Ukipata Ajali utakufa hata usipokufa utapata mateso sana na hapo barabara yenyewe itaendelea tu kuwepo...
3. Ukifa katika Ajali Familia yako utaiacha na itapata mateso na tabu nyingi duniani...
4. Ukifa katika Ajali familia yaani mwenza na watoto wako na wategemezi wako wataondolewa katika nyumba ya Serikali, wataondolewa nafuu za maisha ulizokuwa nazo kama Umeme, maji, Internet na hata school bus...
5. Familia yako itaanza kupata taabu ya kufuatilia mirathi na kwa ofisi ambayo leo wewe ni Boss watapretend hawawakumbuki na watawapa usumbufu mkubwa...
6. Huku nyuma Utaacha mtafaruku mkubwa miongoni mwa familia yako na ndugu zako maana cha muhimu ndugu watakimbilia mirathi na hata kajumba ulikojenga Ilazo watafikiria namna ya kukauza ili kumaliza fitna...
7. Mweza wako (Mke au Mme) atapata mtu mwingine ambaye atarithi starehe yako tu watoto wako watapambana na hali yao...
8. Serikali itaweka mtu mwingine mahali pako maana wako wengi tu nje..
9. Mwisho.... Kule kazini kwako utasahaulika na utabaki tu kwenye orodha ya waliowahi kuwa wakubwa hapo ila hao watumishi waliopo leo watahamishia mahaba yote kwa kwa atakayerithi mahali pako..
Ni maumivu Taifa kupoteza Mtu kwa ajali... Tuzingatie Usalam barabarani.... Maisha hayana second option..
Usipotajirika this time ndo hivo tena huna bahatiKad
Kasome report ya CAG inayojadiliwa leo Bungeni ndo utajua hujui kama kuna TAKUKURU!! Hicho ni kijiwe tu cha ulaji wa Serikali ya CCM.. Mama alishawapa ruksa: UNAKULA KULINGANA NA UREFU WA KAMBA YAKO!!!
Watazipiga halafu hao hao hizo hela wanawekeza kwenye pppKwa michezo hii, kutegemea ufanisi kwenye mashirika ya umma ni nadharia tu.
Ndio maana wanakufa vifo vya aibu .Kama uko mkamilifu ,hata hiyo baskeli isingekatisha kwani malaika wanakulinda..Mwenye haki ya Mungu hataangamiaKad
Kasome report ya CAG inayojadiliwa leo Bungeni ndo utajua hujui kama kuna TAKUKURU!! Hicho ni kijiwe tu cha ulaji wa Serikali ya CCM.. Mama alishawapa ruksa: UNAKULA KULINGANA NA UREFU WA KAMBA YAKO!!!
Sijui kwanini unajitoa, hujui kwamba inaweza kufa kwa uzembe wa mtu mwingine!Kutokuwa waangalifu barabarani, mtakufa sana
Kwa bongo ni uzembe zaidi na kutokuwa waangalifuSijui kwanini unajitoa, hujui kwamba inaweza kufa kwa uzembe wa mtu mwingine!