Duh yaani Bima tu napata Ist isiyo na kipengele. Dunia hii acha tuNdinga imelipiwa BIMA kubwa ya premium View attachment 3303511

Kwahiyo TAKUKURU wao kazi yao ni kukamata waratibu tarafa?!NB: Huku huwezi wasikia TAKUKURU wanapeleka pua,ni kina kirefu mno kwao.
Mama aliruhusu watu tule kwa urefu wa kamba zetu. Kama wewe huna kamba shauri yako.Inasemekana Mkandarasi wa Kichina TBEA alitoa magari zaidi ya 50 ambayo ndani ya TANESCO wapo viongozi wa juu wa tano wenye magari hayo kama zawadi. Hao watano ni pamoja na Marehemu Mkurugenzi.
Mbali na ndani ya Tanesco inasemekana pia Body nzima ilipigwa magari na pia ndani ya wizara ya Nishati kwenyewe.
Kwenye saga hili ndani ya TANESCO inasemekana mbali na Mkurugenzi mkuu Mhandisi mkuu wa Tanesco, Mkuu wa kitego cha manunuzi, Muhasibu mkuu wapo, nao walipitishiwa zawadi.
Kwa mnyetishaji anadai Body nzima nao ndani, wizara kwenyewe ambako walio pewa hasa hana data zao ila ana data za TANESCO make ndiko aliko.
Hivyo ndivyo jinsi nchi inaliwa na hawa huwambii kitu kuhusu Mitano tena. hawa ndio wale wanao kula kwa kamba achana na wale Chawa.
NB: Huku huwezi wasikia TAKUKURU wanapeleka pua,ni kina kirefu mno kwao
Hawafai..ni kuwapiga red card wasikanyage hapa, no wonder miradi yote wanapewa kwa rushwa..jibu ni kuwaondoa!Wanacheza mchezo mchezao...!
Toka nyuma ya keyboard twende barabarani. Mnapampu watu wajae kwenye mfumo alaf mnarudi nyuma mnasikilizia kinachoendeleq..unadhani uliletwa hapa duniani kwa ajili yako mwenyewe?? kila mmoja angeona km wewe ungevaa hiyo suruali kuziba hayo mapumbu au ungepona hicho kifaduro kikikupata? mtizamo wako ni wa mtu hayawani hajui mbele wala nyuma!
..kama mfumo ulijifuma bc utajifumua wenyewe, wewe subiri, utahadithia huko utakakokuwa.Toka nyuma ya keyboard twende barabarani. Mnapampu watu wajae kwenye mfumo alaf mnarudi nyuma mnasikilizia kinachoendeleq
Serikali ipi ikupatie majibu?Wakuu,
Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.
Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,
Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.
Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?
Tunaomba serikali itupatie majibu.
Wakuu,

Kama kumbukumbu ya RICHMOND ipo “live” bado, kipere kinaweza kuwa kidonda ndugu.Unawezakuta na Bi. Mkubwa yupo kwenye orodha yeye akiwa amevuta mpunga mrefu zaidi.
Ndiyo maana hawa jamaa wako radhi waue watu ili wabaki madarakani. Nchi hii inalawitiwa vibayaWakuu,
Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.
Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,
Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.
Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?
Tunaomba serikali itupatie majibu.
Mkataba unasemaje?kuna mikataba kuna condition mzabuni asupply vehicles kwaajili ya project! Mkurugenzi aruhusiwi kuagiza atumie Moja???kwa supplier Mzabuni anaagiza kwa jina lakeKwa nini atumie gari iliyosajiliwa na kampuni ambayo TANESCO wameipa zabuni!!??