Let him rest in Peace , Dogo unakosea sana
Yeye anakosa gani?
Yeye ni sehemu ya Rotten system !
Kuanzia state hadi kushuka kwa Ma CEO ….. hapo kati zinapigwa rafu sana na kila mtu anakula chake ndio maana wanalindana…. Na hayo ma report ya CAG ni matakataka tu huwq yanapigia watu kelele no body cares
. CEO Huwezi kula bila KM , KM huwezi kula big stake bila Waziri, na waziri lazima uwasilishe fungo kwa boss > . Na wakati mwingine CEO anapokea maelezo kutoka kwa KM tu , CEO unaambiwa tu , <;kuna supplier wa umeme anakuja kesho .. angalia namna ya kufanya nae kazi vema….. amekuwq introduced kwangu na Waziri.> Wewe kama CEO unajiongeza. Chap unaweka specs sawa ziendane nae
Baadq ya wiki supplier nae anajiongeza….anakutext ….Mkuu kuna hii V8 Hapa inapata kutu tu , mtume kijana aje kuchukua…. Ina comprehensive Insurance …. Utamcheki Lameck Mushi pale TRA akusaidie kubadili Registration.
Mkuu anajib chap ; kijana yupo njian ; namba yake ya simu ni,,….:::
Supplier anajibu: noted Mkuu , Classified
Huwezi kumlaumu our CEO , shida ni the whole rotten system under CCM
You would do same thing in his position