Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Nchi imejaa wala rushwa tupu mkuu, kumbe gari alipewa na mkandarasi TBEA asee, maanake bodi yote wamehongwa magari halafu unasema kuna TISS/TAKUKURU
TISS ni mali ya CCM, TAKUKURU ni mali ya CCM. Nchi hii mimi nimeamua nifanye yangu maisha yaende siku zangu zikiisha ntaenda kwa baba. Ukiwaza sana utakufa kwa presha kabla ya muda wako
 
Miaka 61 anafanya nin ofisini?
Madereva wenye umri mkubwa ndio madereva bora kabisa kwa sababu wana experience ya muda mrefu na pia wana nidhamu na busara wawapo barabarani. Dereva wangu ana miaka 68
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wanancgi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,

Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali ituoatie majibu.

Hata kama wanatoa gari, kwa nini isisajiliwe kwa SU badala yake inasajiliwa private!!??
Kwa nini GM atembelee gari ambayo si ya ofisi akiwa na dereva wa ofisi!!??
Jiongeze. Hapo alikuwa kwenye private mission bila shaka
 
Hata kama wanatoa gari, kwa nini isisajiliwe kwa SU badala yake inasajiliwa private!!??
Kwa nini GM atembelee gari ambayo si ya ofisi akiwa na dereva wa ofisi!!??

Huu uzi unaweza kuwa msaada kwako
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wanancgi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,

Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali ituoatie majibu.
Tulishawaambia hapa..mali yoyote haramu kwa gharama ya kuongeza madhira kwa watu kwa namna yoyote haina baraka, inabeba laana na lazima ina majibu be t kwa muhusika direct au kwa anaowaachia utajiri aliouchuma kwa njia haramu..muelewe watanzania, tujifunze kuishi kwa uhalali..acha kudhani dunia inaishia pale wewe ukifa, tenda wema uache baraka kwa walio nyuma yako..!
 
Hizo Gari Huwa kampuni wanainguza kwa matumizi yao. Baadae KWENYE MOJA MBILI TATU……. CEO anapigiwa simu….. mkuu kuna gari hapa imekaa tu haina matumizi….. tunakuletea … utaibadili registration tu

Ndio inakuaga hivyo, unapewa V8 mpya….. hapo kila mtu yupo kazini
 
Tulishawaambia hapa..mali yoyote haramu kwa gharama ya kuongeza madhira kwa watu kwa namna yoyote haina baraka, inabeba laana na lazima ina majibu be t kwa muhusika direct au kwa anaowaachia utajiri aliouchuma kwa njia haramu..muelewe watanzania, tujifunze kuishi kwa uhalali..acha kudhani dunia inaishia pale wewe ukifa, tenda wema uache baraka kwa walio nyuma yako..!
 
Ccm wanatuonea sana, wangese hawa F*K
 
Hakika ufisadi umetamalaki kipindi hiki mpaka kerona bunge lenyewe ndilo lile dah. Tutaendelea kumkumbuka mh mbunge Mpina peke yake na kwasababu wengine wanaimba wimbo wa mama kila siku hakuna kinachofanyika. Kuna haja ya kuunga mkono ideology ya CHADEMA "NO REFORM NO ELECTION"
WANANCHI TUAMKE
 
Back
Top Bottom