Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Asee huwa wanaendesha vibaya sn tena kijingaMadaraka ya kulevya - hawa wakiwa barabarani na ma Vi eitee yao ni mabio balaa...ni usiku wa manane hiyo 160 speedl ya nini ndugu? Si ungewahi kuondoka ukaenda ya walau 110 ukafika salama. wanafikiri madaraka yao yawawahakikishia usalama katika hizi barabara zetu na unga unga mwana.
Haya sasa boda wa gunia la mkaa kafanya yake, kosa la nani hilo? Marehemu bosi, Dereva marehemu, doba wa mkaa ama Tanroad??