Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,


Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali itupatie majibu.
Kuna uwezekano mkubwa hilo gari ni la marehemu liliotolewa na TBEA kwa kubadilishana na tenda waliyopewa na Tanesco.

Vv
 
"Watu wazuri hawafi!" Sio maneno yangu, ni maneno ya yule mzee asiyezeeka na kufa.
 
View attachment 3303593

Angalau gari ilikuwa na comprehensive italipwa. Ila tuseme wazi, kitendo cha Mkurugenzi wa TANESCO kutumia hii gari ilikuwa ni conflict of interest. Na huenda alishapewa kama zawadi - zawadi ya Tshs 500m inapaswa kuchunguzwa na Takukuru.

Lakini ndio mtindo wa viongozi wetu.Utakuta hawa mawaziri nk wanakasimiwa sana na mashirika kama malipo ya 10%

Sasa nimejua kwa nini Polisi waliitoa namba haraka haraka - walikuwa wanaficha uovu!
Lakin mkuu kuna polisi waaminifu mpaka wanakera na pia sio wote wanaweza kujua hiyo issue ilivyo na kona kona.
Tuseme watakuwa wametoa hiyo no plate kwa kuagizwa na wanene wenye kuujua mkasaa.
 
TISS ndio genesis ya ufisadi na rushwa zote Tanzania kuanzia ndani ya ccm..ndio maana hawataki katiba mpya ambayo pamoja na mambo mengine itapunguza au kuondoa mamlaka ya uteuzi km ilivyo sasa..wao ndio wanafanya vetting ya wateuliwa na hivyo huwa wanaweka watu wao ambao wanawatumia kufanya wizi na ufisadi..rejea mambo ya MSD na mashirika mengine ya serikali..na ndio sababu hata GAG atoe taarifa za wizi kila siku ndani ya serikali hutakaa uone hatua zozote zinachukuliwa, sababu mafisadi wako hapo hapo ikulu!
Hivi mkuu ofisi ya CAG iko wazara gani na je anawaasidiz wa ngaz za mikoa? Nimewazaa maana jamaa ndo taa pekee iliyomulika mpka majipu ya mtumbua majibu. Lait mahakama na bunge zingefanya nusu ya CAG dadadek tungekuwa tunakimbizana walau na jua.
 
Ndio maana nguvu kubwa sana inatumika mama abaki..mabango si mabango utadhani hiyo picha ni maelekezo ya mganga kwamba waiweke kila mahali na kwenye kila tukio..kwa hali ya kawaida kabisa mama kuwa na bahati kutumika kama makamu wa rais miaka 5 na kuwa rais miaka mitano yaani miaka 10 kutumikia nafasi zote mbili kubwa kwa nchi..hakuna sababu ya kutaka kuendelea kabisa! makamu na rais wanadumu kwenye maamuzi miaka 10 tu na hivyo mama ametimiza hiyo miaka..tabu ya nini kutaka kuendelea?? kumbe wahuni ndio wamemlaghai akalaghaika kuwa aendelee ili mambo km haya ya mkurugenzi wa tanesco yaendelee..kupewa gari na wazabuni wasio na sifa za kupewa kazi..
Nadhani kampuni zote za wachina inabidi kuzi-black list! they r highly corrupt..! tuwafukuze wachina, wao ni sehemu ya nchi hii kuendelea kuwa maskini..
Mkuu mwache ale mema ya nchi maana nchi yenyewe inatawalika smoothly.
Mimi ningekuwa ni Abdul ningemshauri bimkubwa afanye alichokifanya Faza Mpango Philip
 
..unadhani uliletwa hapa duniani kwa ajili yako mwenyewe?? kila mmoja angeona km wewe ungevaa hiyo suruali kuziba hayo mapumbu au ungepona hicho kifaduro kikikupata? mtizamo wako ni wa mtu hayawani hajui mbele wala nyuma!
Mkuu hilo nalo neno asee.
 
Mheshimiwa marehemu mkurugenzi kwa vitu vinavyoletwa hapa aisee ROT IN HELL mwizi mkubwa wewe
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,


Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali itupatie majibu.
Ma CCM mje mtoe majibu ya mleta Uzi. Vipi mtaalamu wa kufafanua. Halafu nyie Ma CCm mnakera Sana utasikia mkajiajiri kumbe hela za kuajiri zinaishia Kwa mafisadi na yanapewa hati safi na CAG wa mchongo. Mbwa kabisa Ma CCM
 
Back
Top Bottom