Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,

Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali itupatie majibu.
Watu wanajua wafukunyua!
 
..adhabu zinaweza kuwa magonjwa, ajali nk ambayo unaowaacha hawawezi kuona thamani ya hayo uliyowaachia.
Maiti haiumwi, maiti haipati ajali. Nionyeshe adhabu kwa walioachiwa mali au adhabu kwa aliyekufa akaacha mali ili nikuulize swali unijibu nikuelewe.
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,

Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali itupatie majibu.
Aibu tupu
 
Kwa ufahamu wangu, plate number huwa zinabadilishwa, leo utaona STM/STN, after wanatumia za kawaida
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,

Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali itupatie majibu.
Hii ndio JF ya critical thinkers tunayotarajia kuendelea kuiona ikiibua mambo ambayo katika hali ya kawaida mtu hawezi kuyafahamu.

Nafikiri tukiendelea na mada fikirishi zenye hadhi hii basi kuna uwezekano mkubwa wa kurejesha hadhi ya JF iliyokuwa imepotea Kwa muda mrefu sasa.
 
Maiti haiumwi, maiti haipati ajali. Nionyeshe adhabu kwa walioachiwa mali au adhabu kwa aliyekufa akaacha mali ili nikuulize swali unijibu nikuelewe.
..hali yoyote inayomuondolea amani mtu na kuona vyote alivyo navyo haviwezi kumuondolea hali inayomsibu ni adhabu..si lazima adhabu ionekane hadharani..!
 
Adhabu anapaswa kuijua mhusika anayeadhibiwa.

Kuhusu kukosa amani si kupewa adhabu sababu kama ambavyo wewe unachinja ng'ombe na hukosi amani kwa kuua ng'ombe kuna watu wanakosa amani kumchinja na kuna watu wanachinja binadamu na wanamtafuna na hawakosi amani unayoisema.

Bado hujanionyesha adhabu mkuu.
 
Nakosa cha kuandika hii nchi inaliwa chini y CHURA a.k.a Dalali.
Mpk inaogopesha na wanajuana kwa vilemba.
KAZI ni kipimo cha utu
we ungepata hiyo fursa ungwezaa kutoiba? au ungeacha kazi? maana issue inaanza kwa juu yako halafu unakataa mlungula, utakuwa salama? wenzio wote wamechukua we unasema NONO??
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,

Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali itupatie majibu.
Polisi walipasa kutoa taarifa ya ajali iliyokamilika ikihusisha shuhuda wa ajali ilivyotokea.Maana haingii akilini dreva kumpisha mwendesha baisikeli saa saba usiku.Huyo mwendesha baiskel alikuwa anaelekea wa Lori au upande wa marehemu
 
Umeandika vizuri ila kumuingiza Luhaga Mpina umeharibu. Mpina alileta umaskini kanda ya ziwa baada ya kuchoma nyavu za wavuvi wadogowadogo wakati wa Magufuli
Nisamehe bure mkuu, nimetolea mfano mbunge Luhaga Mpina kwasababu ndio mbunge pekee katika bunge hili mwenye guts za kuongelea ufisadi nikisahinisha na point yangu ya kwamba bunge hili la hisani kwa mapenzi ya Magufuli kuwapitisha kwenye majimbo yao, hawana chakuongea juu ya wateule (mawaziri) wa mwenyekiti wao wa chama taifa kwa ufisadi wote huu uliotokea mpaka sasa.
 
Adhabu anapaswa kuijua mhusika anayeadhibiwa.

Kuhusu kukosa amani si kupewa adhabu sababu kama ambavyo wewe unachinja ng'ombe na hukosi amani kwa kuua ng'ombe kuna watu wanakosa amani kumchinja na kuna watu wanachinja binadamu na wanamtafuna na hawakosi amani unayoisema.

Bado hujanionyesha adhabu mkuu.
..wewe huwezi kuijua adhabu ya mtu mwingine, au hali ya kutokuwa na amani kwake, hivyo unauliza kitu huelewi kinaanzia wapi kinaishia wapi..lkn kitu halisi kulingana na vitabu vya dini, hakuna tendo lolote baya au zuri halina malipo be t kwa muhusika mtenda baya au zuri au kwa warithi wake, leo au kesho..hii ni principle ya Mungu haibadiliki! ndio maana wewe unaweza kuwa masikini kwa sababu ya baba yako alikuwa mchawi!
 
Cute Wife taarifa kama hizi zinapatikana kwakubonyeza code zipi
 
Attachments

  • downloadfile-37.jpg
    downloadfile-37.jpg
    16.1 KB · Views: 18
Back
Top Bottom