Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

..wewe huwezi kuijua adhabu ya mtu mwingine,
Mbona wewe unaiongelea unaijuaje?
au hali ya kutokuwa na amani kwake, hivyo unauliza kitu huelewi kinaanzia wapi kinaishia wapi..lkn kitu halisi kulingana na vitabu vya dini,
Dini zipo nyingi, kuna dini wanatoa kafara za binadamu wasio wafuasi ili waende mbinguni, hizo adhabu wanapewa wapi ilihali hawakosi amani kwa kuua?
hakuna tendo lolote baya au zuri halina malipo be t kwa muhusika mtenda baya au zuri au kwa warithi wake, leo au kesho..hii ni principle ya Mungu haibadiliki! ndio maana wewe unaweza kuwa masikini kwa sababu ya baba yako alikuwa mchawi!
Kwa misingi ipi?

Mkuu, onyesha adhabu kwa mwizi aliyejenga nyumba akafa zikarithiwa na ndugu ili tuachane na bla bla.
 
Mbona wewe unaiongelea unaijuaje?

Dini zipo nyingi, kuna dini wanatoa kafara za binadamu wasio wafuasi ili waende mbinguni, hizo adhabu wanapewa wapi ilihali hawakosi amani kwa kuua?

Kwa misingi ipi?

Mkuu, onyesha adhabu kwa mwizi aliyejenga nyumba akafa zikarithiwa na ndugu ili tuachane na bla bla.
..huwezi onyesha adhabu isiyo yako kijana, swali lako tu linaonyesha hujui utokako wala unakoenda..mbinguni ni wapi, unatajiwa majina tu hata hufahamu maana ya kinachotajwa..naweza kesha kujaribu kueleza lkn hutaelewa sabab base yako ya maarifa s too narrow!
 
Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,

IMG_20250414_080446_998.jpg
IMG-20250414-WA0002.jpg
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,


Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali itupatie majibu.
Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,

IMG_20250414_080446_998.jpg
IMG-20250414-WA0002.jpg
 
Polisi walipasa kutoa taarifa ya ajali iliyokamilika ikihusisha shuhuda wa ajali ilivyotokea.Maana haingii akilini dreva kumpisha mwendesha baisikeli saa saba usiku.Huyo mwendesha baiskel alikuwa anaelekea wa Lori au upande wa marehemu
Aliyetoa taarifa za mwendesha baiskeli achunguzwe
 
..huwezi onyesha adhabu isiyo yako kijana, swali lako tu linaonyesha hujui utokako wala unakoenda..mbinguni ni wapi, unatajiwa majina tu hata hufahamu maana ya kinachotajwa..naweza kesha kujaribu kueleza lkn hutaelewa sabab base yako ya maarifa s too narrow!
Kama huwezi onyesha adhabu isiyo yako tunaongelea adhabu za wengine kwa misingi ipi?

Mkuu huna hoja nje ya mambo ya kiimani. Kama ipo iseme tuijadili, kama huna tuishie hapa.
 
1744627382546.png
 
Unauliza kwanini maji ni mekundu badala ya kulalamika na kukemea uchafuzi na uendelezwaji wa uchafuzi wa hayo maji ? Tena unawapa kabisa an Out majizi kuweza kusema kwamba kweli kuna kilichofanyika ndivyo sivyo ila kimeondoka na aliyeondoka...

Madudu ni kila kona uhitaji kuyatafuta, ila ndio hivyo leo mtaongelea hili kesho lile na siku zinasonga.., hakuna kinachobadilika...
 
Hii ndio inaitwa mwenye nacho anaongezewa, yaani mkulungwa anapewa rushwa ndgunga la mamilioni
 
View attachment 3303593

Angalau gari ilikuwa na comprehensive italipwa. Ila tuseme wazi, kitendo cha Mkurugenzi wa TANESCO kutumia hii gari ilikuwa ni conflict of interest. Na huenda alishapewa kama zawadi - zawadi ya Tshs 500m inapaswa kuchunguzwa na Takukuru.

Lakini ndio mtindo wa viongozi wetu.Utakuta hawa mawaziri nk wanakasimiwa sana na mashirika kama malipo ya 10%

Sasa nimejua kwa nini Polisi waliitoa namba haraka haraka - walikuwa wanaficha uovu!
Police wa TZ ni wajinga sana wanawasaidia viongozi kuiba mabilioni , alafu wao wanaambulia kuushi kwenye nyumba za mkoloni, wajinga sana Hawa umbwa
 
Back
Top Bottom