Ndio maana nguvu kubwa sana inatumika mama abaki..mabango si mabango utadhani hiyo picha ni maelekezo ya mganga kwamba waiweke kila mahali na kwenye kila tukio..kwa hali ya kawaida kabisa mama kuwa na bahati kutumika kama makamu wa rais miaka 5 na kuwa rais miaka mitano yaani miaka 10 kutumikia nafasi zote mbili kubwa kwa nchi..hakuna sababu ya kutaka kuendelea kabisa! makamu na rais wanadumu kwenye maamuzi miaka 10 tu na hivyo mama ametimiza hiyo miaka..tabu ya nini kutaka kuendelea?? kumbe wahuni ndio wamemlaghai akalaghaika kuwa aendelee ili mambo km haya ya mkurugenzi wa tanesco yaendelee..kupewa gari na wazabuni wasio na sifa za kupewa kazi..Ndiyo maana wanakwambia mitano tena kwa mama
Nadhani kampuni zote za wachina inabidi kuzi-black list! they r highly corrupt..! tuwafukuze wachina, wao ni sehemu ya nchi hii kuendelea kuwa maskini..