Aliyetoa taarifa za mwendesha baiskeli achunguzwe
Kwa akili ya kawaida tu hapo hakukuwa na mwendesha Baiskeli pale!!!! Looks like it was a planned accident!
Hv Saa 7 unusu ucku baiskeli ilikuwa inaenda wapi porini kwene Eneo la Serengeti mbuga za Wanyama wakali!
Hii ajali ya huyu mkurugenzi TANESCO lazima kuna mengi nyuma ya Pazia.
Maswali ya harakaharaka:
1. Kama Mkurugenzi wa TANESCO alikuwa anawai wapi usiku wa ma8?
2. Kwann alikuwa anatumia private Car ya Kampuni ya Kichina yenye Kandarasi na TANESCO?
3. Kwann alikuwa hatumii gari ya Shirika la TANESCO yenye namba za SU?
4. Kama ilikuwa ni safari ya kibinafsi kwanini hakutumia gari yake ya nyumbani?
5. Je, kuna fununu au taarifa zozote za kuwa alitangaza nia ya kugombea Ubunge huko Tarime?
6. Je, ripoti ya CAG kuhusu TANESCO kuingia ukandarasi na hiyo Kampuni ya Kichina TBEA CO. LTD ilikuwa ina mguxa kwa kiasi gani marehemu?
7. Je, kulikuwa na mgongano wa kimaslahi ktk Kandarasi hii kati ya Marehemu na TBEA CO. LTD na Vigogo wengine Wizarani?
Bado kuna maswali mengi yanahitaji majibu magumu!!