Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Kwanini Mkurugenzi wa TANESCO aliyefariki alitumia gari binafsi kazini badala ya ofisi? Kwanini waling'oa namba ya gari?

Hiyo sio hongo, ni Takrima…. Hata ww usingekataa V8 kama hiyo

Ni Takrima kwa sababu ugawaji wa maslahi unaanzia kwa Waziri….. waziri anamuwakilisha nani? Kama jibu unalo hifadhi

Then downstream inaendq kwa Katibu then CEO. Hapo mtasomewa mareport ya CAG MIAKA NENDA RUDI….. mtaambiwa tu deni hili ni la miaka ya nyuma alisababisha Ngosha. Kuna anaefuatilia CAG report now ?

Kuleni ugali na makande mpumue vema ila mtambue viongozi wanapiga hela vibaya mno na ndio mana mambo mengi hayawezi kufanyiwa kazi …. Mbwa kala mbwa

Mnauliza mbona den linakuwa na nchi inazidi umasikini

Majibu ndio hayo
Yote si ndio yale yale Mkuu - majina mengi ya Rushwa
 
Wakuu,

Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.

Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wananchi wamefukunyua na taarifa za gari zimepatikana. Gari hiyo imesajiliwa kwa T385 EHM, Toyota Landcruiser, 2023, White, 3340 Ltrs, TBEA CO., LIMITED,

Kampuni ambayo imepewa zabuni na TANESCO na ilikuwa kwa ripoti ya CAG ya 2024 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Kampuni hiyo pia ilipewa kandarasi ya ujenzi wa kusafirisha laini ya umeme iliyogharimu Tsh. Bilioni 510 - Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma
​
Mkurugenzi wa TANESCO kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu?

Tunaomba serikali itupatie majibu.
Tanzania ina madudu mengi aisee!!👿
 
Mmmh!! Hayanihusu.
 
Aisee takukuru nao wapo likizo wangeanzisha uchunguzi kamili... But all in all mtuhumiwa no 1 tayari ni deceased kwahiyo kwake ni kuachana nae tu. Labda km kuna wengine ndio washuulikiwe bara bara pumbav
 
Uanzishe Uchunguzi ili ukatafute nini? Ukianza uchunguzi utafia njiani

Unataka kudhalilisha viongozi wa nchi
Unadhan CEO anakula mwenyewe ?

Muachini CEO apumzike, juzi ilifanyika analysis ya viongozi wenye mahela nje TZ kupitia AC ….. ni balaa

Ukipata fursa na wewe kula

DP world unajua watu wamekula kiasi gani ? Je kuna mabadiliko yoyote pale Bandari…. Ushuru umepandq na meli bado zinaweka foleni na kuchelewa

Hela inapigwa sana …. Kama haupo kwenye mfumo then relax 😎
Hizo V8 ni kitu kidogo sana……. Mil 200 tu , pesa ya chai
 
Most likely

Unaweza kukuta inahusiana na "malipo ni hapahapa duniani"
Hakuna hicho kitu . Dunia ni unbalanced tangu zamani. Hakuna malipo yoyote, kwani kifo ni ADHABU?

Kifo ni wajibu na kila mtu atakufa ni suala la muda…. Wewe pia utakufa haijalishi unafanya mazuri au mabaya…… unaweza kufa kwa moto …. Unaweza kufa kwa ajali…. Unaweza kufa kwa ndege ….. Je tuje kusema kuwa umelipwa hapa hapa duniani? CEO yupo peponi now anakula asal na maziwa…. Kawaachia watoto mali na urith…. Wewe unazûngumzia kulipwa duniani ? Waza ukifa ww kuna cha maana unawaachia vijana ?

Mentality za ajabu sana hizi tuziache….tuna perceive kifo kama ni Adhabu….kama kifo ni adhabu basi get prepared as well .

Jamaa amekufa sasa nyakati zake zimeisha na ajali ni sehemu tu na sababu ya kifo. Ilîkuwa ni lazima afe hata kama angelala home….aliandikiwa kuwajibika nyakati hizi kama vile ww pia umeandikiwa kuwajibika nyakati fulan. Watu weusi bana …tunamentality za hovyo sana .

Hapo TZ hadi viongozi wa kuu kabisa wanapiga rushwa hatar na ni trilionea huku nyie mnashindia makande….. mbona hawalipwi duniani hapa hapa ?CEO ni mtu mdogo sana kwenye chain ya Takrima

Acheni mambo ya ajabu hakuna atakaelipwa na kama ni kifo hata ww utakufa , au utaishi milele? Tafuta maisha , hakuna wa kulipwa
 
Karma is mind set

Hakuna hicho kitu. Ili iwe karma alipaswa kuwa hai… ateseke alias hai…

Kifo hakiwezi kuwa ni sehemu ya Karma …. Kifo ni wajibu na ujiandae pia it will knock on your door soon enough
Endelea kutenda dhambi harafu useme kifo ni wajibu.
 
Karma is mind set

Hakuna hicho kitu. Ili iwe karma alipaswa kuwa hai… ateseke alias hai…

Kifo hakiwezi kuwa ni sehemu ya Karma …. Kifo ni wajibu na ujiandae pia it will knock on your door soon enough
Unataka kutuambia hakuna planned death? Kwamba kila kifo ni wajibu? No sir!
Watu wanaotekwa na kupotezwa au kukutikana wameuawa sio mipango ya wauaji,wahuni na Wanasiasa wene tamaa ya kutawala m
Gari ina namba binafsi according to mleta uzi labda ni yake lakini pia dereva ana miaka 61 which means hana sifa ya kuwa mtumishi wa umma amevuka ustaafu. Though hoja zako zina mantinki pia maana lolote lawezekana kwa hawa watumishi waandamizi wa serikali
Kabla huja comment jaribu kusoma info uielewe vzr.

1. Gari c ya kwake ina jina la TBEA, Kampuni ya Kichina yenye kandarasi ya kujenga mind mbinu ya Umeme kwa Tanesco.
2. Dreva yule ana miaka 61 ni sawa. Ile siyo gari SU ya TANESCO. Maanake alisha stahafu lakn hiyo haimzuii kuwa dreva wa Mkurugenzi wa TANESCO kwenye private Car.
Umeelewa?
 
GARI inayotajwa kumuua Mkurugenzi wa TANESCO, Mhandisi Boniface Gisima ilianza kutumiwa na Maharage Chande akiwa MD wa TANESCO kipindi cha Waziri wa Nishati, Januari Makamba hivyo kwa kuwa Maharage yupo vyombo vya Dola vimuhoji gari ya mtu binafsi iliwezaje kutumiwa na MD wa TANESCO?
 
Back
Top Bottom