Kwanini Mkuu wa Majeshi hapewi heshima?

Asante kwa ufafanuz mzuri
 
Uko vizur lazma wakupinge na vifungu umewatajia watasema wao wanapewa na rais
 
Kule mtwara jw cjui walienda kuwapiga boko haram au alshababu na wametekeleza amri ya chadema au nimekosea mkuu ww MT ngapi kikos gn
 
Mkuu wa majeshi ni amiri jeshi mkuu yaani rais. Una maana kwamba rais hapewi heshima?
Ufuta umeingia mchanga.... .

Mkuu wa majeshi - Chief of Defense Forces huyu ni Mabeyo
Amiri Jeshi mkuu - commander in Chief huyu ndio Mh Magufuli

Sio cheo cha mtu mmoja.
Hii sisi tulisoma kwenye uraia darasa la tano.....
 

Hovyoo, kwani msafara unaanzia magari mangapi . Aaah wewe jamaa wewe
 
Hyo gari moja ya mp ni zaidi ya magari kumi yaliyopo kwenye msafara
 
yeah ehe bado tuna safari ndefu Tanzania,mkuu wa majeshi haina ulazima wa kuwa na polisi escort wala kusafishiwa njia,unless kama kuna emergency,awamu ya kwanza hili tulikuwa tunaliona ila now kila mtu anajifanyia la kwake,president,vice president,na PM hawa protocol inaruhusu,ni vichekesho kusikia eti speaker au IGP nao wana polisi escort,hizi zote ni matumizi mabaya ya kodi zetu,tumekuwa waoga mno mpaka tunashangaa wasindikizaji wa mkuu wa majeshi wanapowaomba raia njia,bcs tunaanza kuzoea utemi tu,tembelea BOTSWANA rais wao anaingia kwenye viwanja vya mipira peke yake kwenye motor bike yake,SA no 1 also ni kimya kimya msafara wake ingawa una magari mengi ya kumsindikiza,yooo.
 
kweli "dawa" mbaya, unasema kanali/capt vyeo vya chini? labda kwenye jeshi la joseph konyi.
Hapa alikua anafanya comparisson kati ya General,major general, Haswa hivi vyeo sana sana ndo CDF Anakua ashavifikia


Na akifananisha na nchi nyingi zilizowahi kufanikisha mapinduz yakijeshi mara nyingi anayeshika nafasi ya Urais sio CDF

Mara nyingi Wanashikilia Uongozi wa Uraisi kwa muda huo ni wanajeshi wenye Ushawishi wa hali ya juu(hawa wana uanasiasa ndani yao) haijalishi wana vyeo vya chini
Ilimradi tu ni comissioned officer
Kuanzia
2nd Lieutenant
Lieutenant
Captain
Major
........
......
......
Colonel(kanali)
Na kuendeleaa
 
Raisi huwa wanakwenda polisi ambapo hapa wana kwenda mkuu wa polisi mkoa RPC na mkuu wa traffic mkoa RTO halafu huwa kuna ffu kikosi cha kumlinda raisi pia kama ni tukio lazima aambatane na wandishi wa habari wa ikulu na wale wa taifa lazima pia awepo mkuu wa mkoa/ wilaya husika bila kusahau mkuu wa itifaki timu ya matabibu nk kwa haraka haraka utaona ni magari magapi ila jeshi lile ni dola kamili hawahitaji kukaribishwa kuingia wilaya fulani pia hawahitaji ulinzi wa polisi swala la kukaa kwenye foleni kidogo nina wasiwasi nalo cdf huwa hakai foleni aise labda uliona gari tofauti
 
Nakataa kuwa uliyemuona si mkuu wa majeshi! Kwa taarifa yako ata makuruta huwa hawakai foleni ata siku moja! Kawaulize traffic wa wamataa mengi dar nini huwapata wakilikalisha gari la jeshi foleni! Kwanza fahamu kuwa gari LA mkuu wa majeshi linaking'ora hivyo taarifa zake huwa zinawafikia mapema matraffic. Cha msingi ni kuwa huwa wanapita njia tofauti na ile ya uelekeo wao! Kifupi ni wababe sana.
 
We jamaa umeandika kwa jazba sana
 
***** hili litakuwa limehenya RTS kihangaiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…