kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mbona hawatoi support KWA ndugu yao
Ndugu yake na chama cha wananchi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yake na chama cha wananchi!!
Asante kwa ufafanuz mzuriMkuu wa majeshi kila anapokuwa kuna msafara ...gari yake Ina Nyota Nne ...na gari Moja au Mbili nyuma Zenye namba private ...uwepo wa kimuli muli hutegemea Hali ...especially kwa Mkuu tulie naye Hana Makuu na hutumia sweepers tu pale anapokuwa na uharaka ...Zaidi ukiwa nyuma yake hata bila sweeper traffic wanakuwa wamepewa signal na utaona wanaita Magari ya upande wake .....anapita
Hata Mkuu wa TISS naye kwa wanaojuwa wanaweza ku spot msafara wake wa Magari meusi yenye private number ...hadi UWE unajuwa Ndio utaweza ku spot ..entourage yake .
Mkuu wa Majeshi nafasi yake ni namba mbili Baada ya Rais ....yeye Ana ripoti Moja kwa Moja kwa Rais ...sio kwa waziri ,waziri Mkuu au Makamu wa Rais ...ambao anawatii tu..., Ana access na Rais 24/7 ....hata usiku akiwa amelala Anao uwezo wa kuagiza aamswe ili waongee au amuone ...ikitokea hatari yeyote ya ulinzi na Usalama au maafa ..yeye Ndio mwenye jukumu la kukusanya taarifa Za vyombo vyote na kumpelekea Rais taarifa Rasmi ..muda wowote ...wakuu wote wa vyombo Vya Usalama ( Polisi ,Usalama ,magereza ,zimamoto etc ) yeye Ndio joint chief ..au mwenyekiti wa ulinzi na Usalama ( national security council )
Kwa Nguvu kubwa alionayo ...anatakiwa kuwa humble ...ili asionekane..kuwazidi waziri wake ,waziri Mkuu na Makamu HADHARANI ....kwenye Protocal arrangement ..anawapigia saluti ..lakini behind the scene wanajuwa yeye ni nani ...na anawazidi ...Sasa akianza kutembea na misafara Marefu ....na Nchi Hii ni ya kidemokrasia..atakuwa Ana send wrong message ...
Uko vizur lazma wakupinge na vifungu umewatajia watasema wao wanapewa na raisukisoma kifungu cha 56(4) cha sheria ya ulinzi wa taifa Tz, kinawataka jeshi la ulinzi, kutoa taarifa ya mazoezi yao kwa wakazi wa maeneo husika kama mazoezi hayo yataingia kwenye makazi ya watu, basi na mtu atakaye kaidi au kuingilia mafunzo yao atakamatwa na askari wa jeshi la polisi au ofisa wa jeshi la ulinzi au na askari yeyote wa jeshi la ulinzi kwa amri kutoka kwa ofisa wa jeshi la ulinzi, natena mafunzo hayo yanapaswa yawe na kibali cha maandishi kutoka kwa waziri wa ulinzi s.56(1), na pia kwa waziri wa mambo ya ndani kwa mujibu wa penal code, sasa ni mara ngapi jeshi la kudumu au jeshi la ulinzi hufanya mafunzo karibu na makazi ya watu bila kutoa taarifa kwa wakazi? na tena jeshi hili la kudumu la ulinzi huwa hawatoi hata taarifa ndani ya jeshi la polisi chombo ambacho kimepewa mamlaka ya kuhakikisha watu hawaingilii mafunzo yao, kwa mujibu wa kifungu nilicho kitaja. nilazima dhana ya kudharauliana katika majeshi yetu yote iondolewe kila askari amuheshimu mwenzie kwa mujibu wa majukumu aliyo pewa na nnchi.
na hata kama ni kutafuta kwamba chombo kipi kina mamlaka juu ya chenzie bado jeshi la polisi litakuwa namba moja kimamlaka kwani ndiyo chombo pekee cha kusimamia sheria zote za nchi, ukisoma sheria ya usalama wa taifa letu utaona kwamba TISS hawana uwezo wa ku enforce sheria bali kuchunguza tuu lkn jeshi la polisi linachuguza na ku enforce, je ? nani zaidi kimamlaka ?
ukisoma kifungu cha 77(1) cha sheria ya ulinzi wa taifa, askari wa jeshi la polisi (police constable) ambaye kimsingi ni police officer anamamlaka ya kumkamata askari wa jeshi la ulinzi ambaye anasadikika kuwa ni mtoro katika jeshi hilo, au ni mtoro kabisa, kisha kumfikisha mahakamani au kumpeleka kwenye kambi yao, sasa mpaka hapo nani ni kiranja wa mwenzie kati ya jeshi la polisi na jeshi la ulinzi ? ingawa nao askari wa jeshi la ulinzi huweza kuwa na mamlaka ya askari wa jeshi la polisi pale watakapokuwa wanasaidia mamlaka za kiraia (yaani ku enforce civilian laws)kwa Kifungu cha 22 cha sheria ya ulinzi wa taifa Tz
ukisoma C.40 ya kanuni ya adhabu ndani ya jeshi la ulinzi (CODE OF SERVICE DISCIPLINE) inatamka kuwa kitendo cha askari yeyote yule wa jeshi la ulinzi kuzuia askari mwenzao au ofisa wao asikamatwe na askari polisi, wa jeshi la polisi ni kosa tena lina stahili adhabu ya miaka isiyopungua miwili, hii ni sheria ya jeshi la ulinzi lenyewe, swali ni kwamba ni mara ngapi askari wa jeshi la ulinzi hugoma kukamatwa na askari wa jeshi la polisi ? kwa kisingizio kuwa wao hawa wezi kamatwa na polisi ? na kwa mujibu wa kifungu hiki nani ni zaidi ya mwenzie ? any way TANZANIA POLICE FORCE IS THE ORIGIN OF MILITARY CIVILIZATION IN TANZANIA, DRAW ITS HISTORY FROM THE GERMANS IN COLONIAL PERIODS , FOLLOWED BY THE NATIONAL SERVICE, UKIACHANA NA KINGS AFRICAN RIFLE YA MWINGEREZA AMBAMO JESHI LA ULINZI HUPATA CHANZO CHA HISTORIA YAKE, NA TENA HATA VIONGOZI WA KWANZA WA JKT WALIKUWA NI POLICE, 'majeshi yote yanamajukumu ya ulinzi wa taifa letu na kuhakikisha usalama, ni lazima askari (wanajeshi) wote wa vyombo vyote muheshimiane na kuthaminiana.
NAHATA KAMA NI MFUMO WA VYEO VYA KIJESHI AMBAO ASKARI WA JESHI LA ULINZI HUTAMBIA SANAAAAAA, BADO WANAPASWA KUKUMBUKA KUWA MKUU WA KWANZA WA JESHI LA POLICE TANZANIA ALIKUWA NA CHEO CHA "MAJOR" ALIITWA "MAJOR DAVIS " alikuja Tanganyika akitokea South Africa (hiki kilikuwa kipindi ambacho tanganyika ilikuwa chini ya uangalizi wa muingereza), BAADA YA HAPO COMMISSIONER ELANGWA SHAHIDI AKAWA MKUU WA KWANZA WA POLICE KWA WAZAWA, NA BAADAYE TULIPO UNGANA NA ZANZIBAR ELANGWA SHAHIDI AKAWA "IGP" WA KWANZA WA POLICE TANZANIA
Kule mtwara jw cjui walienda kuwapiga boko haram au alshababu na wametekeleza amri ya chadema au nimekosea mkuu ww MT ngapi kikos gnhuelewi unacho ongea , nashida yako ni kwamba hujui mamlaka ya jeshi la polisi,kumbuka masuala yote ya "internal security" (IS) yapo chini ya jeshi la polisi, ngoja nikupe mfano mmoja "mfano ndani ya kambi ya jeshi la ulinzi la kudumu (maarufu jwtz) kumetokea kifo cha mashaka hapo ni jeshi la polisi ndilo litakalo kuwa na mamlaka ya kuchunguza kifo hicho ikiwa ni pamoja na kusimamia taarifa ya kitabibu (POSTMORTEM) juu ya kifo hicho na si jeshi la ulinzi la kudumu (maarufu jwtz), polisi wanamamlaka hata ya kusimamisha na kukagua magari yote ya hao wanao itwa jwtz kwani si kila gari la bakabaka basi ni gari la jeshi la ulinzi la kudumu, au si kila aliyevaa gwanda la bakabaka basi ni askari wa jeshi la ulinzi la kudumu, (lakini cha ajabu hao wanao itwa jwtz huwa wanabisha kukaguliwa na polisi, kwa kisingizio kuwa wao hawatakiwi kukaguliwa. (HUU NI UFINYU WA KUFIKIRI)
kitu kingine unaonesha kudharau jeshi la polisi kwa kusema eti ni la askari wa ccm huku ukijipotosha kuwa hao mnao waita jwtz si askari wa ccm, sasa ndugu yangu nikukumbushe tu kuwa majeshi yote yapo chini ya tawala za kiraia hivyo ni amri za watawala wa kiraia ndizo zinazo endesha majeshi yetu, sasa basi kile kitu kinacho fanywa na polisi halafu wewe ukipendi kumbuka kitu hichohicho chaweza fanywa na hao the so called jwtz, tena kinaweza fanywa vibaya zaidi kuliko hata jeshi la polisi, NIKUJIDANGANYA KUSEMA KWAMBA POLISI WANATETEA CCM, HALAFU HAPOHAPO UWATOE HAO REGULAR FORCE (MAARUFU KAMA JWTZ)
Ufuta umeingia mchanga.... .Mkuu wa majeshi ni amiri jeshi mkuu yaani rais. Una maana kwamba rais hapewi heshima?
Hawa wanaopiga askari wenzao ni watu jamii ya konda wa boda bodaHalafu kuku wa chini kabisa utakuta wanapiga trafik eti wanachelewa!!!!!!.
Muulize le profeseli liPUMBA[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mbona hawatoi support KWA ndugu yao
Namtafuta mwanajeshi ataejichanganyaHawa wanaopiga askari wenzao ni watu jamii ya konda wa boda boda
Au niuelewa wangu mdogo au upo tofauti na ukweli husika?
Kuna huu utaratibu wa viongozi wa kiserikali hasa hapa dar kutembea kwa masafara wa magari kadhaa ukiongozwa na pikipiki.
baadhi ni kama waziri mkuu .spika wa bunge MKUU wa mkoa na mkuu wa polisi Mara NYINGI wanapo kuwa wanapita huwa wanasafishiwa njia
kabisa.
Lakini why kwa MKUU wamajeshi huwa tofauti??. Inamaaana kweli kiutendaji hawa wapo juu yake??.
Hivi nji ikipinduliwa nani anashika madaraka ya kuiongoza kama sio MKUU wa majeshi..ss kwanini hapewi
heshima ??? au ndio utaratibu??.
wiki iliyopita tulinasa nae kwenye foleni bondeni alikuwa akielekea njia ya TEGETA alikuwa na msafara wa gari 1 tu
ya MP ambayo ilikuwa mbele ilibidi washuke nakuanza kupangua gari ili MKUU aweze kupita.
Hyo gari moja ya mp ni zaidi ya magari kumi yaliyopo kwenye msafaraAu niuelewa wangu mdogo au upo tofauti na ukweli husika?
Kuna huu utaratibu wa viongozi wa kiserikali hasa hapa dar kutembea kwa masafara wa magari kadhaa ukiongozwa na pikipiki.
baadhi ni kama waziri mkuu .spika wa bunge MKUU wa mkoa na mkuu wa polisi Mara NYINGI wanapo kuwa wanapita huwa wanasafishiwa njia kabisa.
Lakini why kwa MKUU wamajeshi huwa tofauti??. Inamaaana kweli kiutendaji hawa wapo juu yake??.
Hivi nji ikipinduliwa nani anashika madaraka ya kuiongoza kama sio MKUU wa majeshi..ss kwanini hapewi heshima ??? au ndio utaratibu??.
wiki iliyopita tulinasa nae kwenye foleni bondeni alikuwa akielekea njia ya TEGETA alikuwa na msafara wa gari 1 tu ya MP ambayo ilikuwa mbele ilibidi washuke nakuanza kupangua gari ili MKUU aweze kupita.
BashiteMmh! Mkuu, huyo mkuu wa mkoa gani ambaye anapewa escort???
Hapa alikua anafanya comparisson kati ya General,major general, Haswa hivi vyeo sana sana ndo CDF Anakua ashavifikiakweli "dawa" mbaya, unasema kanali/capt vyeo vya chini? labda kwenye jeshi la joseph konyi.
Itakuwa wa mzizimaMmh! Mkuu, huyo mkuu wa mkoa gani ambaye anapewa escort???
Yani na piki piki 4Bashite
Raisi huwa wanakwenda polisi ambapo hapa wana kwenda mkuu wa polisi mkoa RPC na mkuu wa traffic mkoa RTO halafu huwa kuna ffu kikosi cha kumlinda raisi pia kama ni tukio lazima aambatane na wandishi wa habari wa ikulu na wale wa taifa lazima pia awepo mkuu wa mkoa/ wilaya husika bila kusahau mkuu wa itifaki timu ya matabibu nk kwa haraka haraka utaona ni magari magapi ila jeshi lile ni dola kamili hawahitaji kukaribishwa kuingia wilaya fulani pia hawahitaji ulinzi wa polisi swala la kukaa kwenye foleni kidogo nina wasiwasi nalo cdf huwa hakai foleni aise labda uliona gari tofautiMKUU mshangao wangu ni why anapokuwa anapita njia huwa haisafishi?? yaani nayeye unakuta anakuwa kwenye foleni kama kawaida??.
MKUU naomba unisaidie misafara mfano wa raisi huwa unatakiwa kuwa na magari mangapi na huwa anaongozana na wakina nani na waziri MKUU nae pia na spika na je urazima wakuambatana na hao watu ni upi??
We jamaa umeandika kwa jazba sanaNakataa kuwa uliyemuona si mkuu wa majeshi! Kwa taarifa yako ata makuruta huwa hawakai foleni ata siku moja! Kawaulize traffic wa wamataa mengi dar nini huwapata wakilikalisha gari la jeshi foleni! Kwanza fahamu kuwa gari LA mkuu wa majeshi linaking'ora hivyo taarifa zake huwa zinawafikia mapema matraffic. Cha msingi ni kuwa huwa wanapita njia tofauti na ile ya uelekeo wao! Kifupi ni wababe sana.
***** hili litakuwa limehenya RTS kihangaikoNakataa kuwa uliyemuona si mkuu wa majeshi! Kwa taarifa yako ata makuruta huwa hawakai foleni ata siku moja! Kawaulize traffic wa wamataa mengi dar nini huwapata wakilikalisha gari la jeshi foleni! Kwanza fahamu kuwa gari LA mkuu wa majeshi linaking'ora hivyo taarifa zake huwa zinawafikia mapema matraffic. Cha msingi ni kuwa huwa wanapita njia tofauti na ile ya uelekeo wao! Kifupi ni wababe sana.