Kwanini Mkuu wa Majeshi hapewi heshima?

Kwanini Mkuu wa Majeshi hapewi heshima?

Ndio maana linaitwa JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA nadhani umepata jibu hapo mkuu.
 
Nakataa kuwa uliyemuona si mkuu wa majeshi! Kwa taarifa yako ata makuruta huwa hawakai foleni ata siku moja! Kawaulize traffic wa wamataa mengi dar nini huwapata wakilikalisha gari la jeshi foleni! Kwanza fahamu kuwa gari LA mkuu wa majeshi linaking'ora hivyo taarifa zake huwa zinawafikia mapema matraffic. Cha msingi ni kuwa huwa wanapita njia tofauti na ile ya uelekeo wao! Kifupi ni wababe sana.
Kwasababu ubishi ni asili yako lakini kiukweli niliye muona alikuwa mkuu wa majeshi mstaafu mwamunyange.alikuwa anarudi kwake na kulikuwa na folen hatari kutokea bondeni mpaka makonde hivyo alikaa foleni kama kawa na mp walishuka na kuanza kusafisha njia kuwaomba raia kuweka gari zao pembeni ili apite
 
Sawa wewe umesema ubishi ndio asili yangu. Kumbuka kwenye post yako hujasema mkuu wa majeshi mstafu, hivyo mantiki yako haiendani na ulichotaka kukijua, N.B ata hao uliowasema wanasafishiwa njia wakistaafu watakaa foleni kama kawaida ata wa kushuka kusafisha njia hawatamuona, huenda ata wakatishiwa risasi wa kileta fujo.
 
Mkuu kumbuka hii thread iliwekwa wakati mwamnyange akiwa bado hajastaafu ndio maana nimesema hapo ni mstaafu.

Wewe kama ungekuwa unakaa njia ambayo alikuwa anapita mwamnyange usingekuwa unasema hivyooo..

Mm kwa macho yangu nilishuhudia wakati anapoludi sio zaidi ya mara moja .anakutana na jam kubwa mpaka wale ma mo wanashuka na kuanza kuzipangua gari.ndio maana nikaandika huu uzi why isiwe kama raisi
 
Nimekuelewa.
 
Jadilini masuala ambayo ni size yenu huku mlikoingia kulijadili geshi sasa mnatafuta kuumia
Jeshi ni la wananchi na wananchi wenyewe ni sisi hapa ..na hatujadili vifaru wala siraha tunajadili vyeo na mamlaka ya jeshi.
 
Wee baki na swali lako la awali,hiyo idadi ya magari ya ulinzi ya viongozi sijui hata unaitakia nini??? Au lengo lako ni nini na wewe ni nani??

Dunia hii maswali mengine huwa hayajibiwi
Hahahaaaaaaa
 
Mkuu,CDF anatembea na makomandoo ambao wako armed to the tooth. Acha kabisa!!!
Mkuu wa majeshi mbna mi namuona wa kawaida kwasababu raisi anauwezo wa kumuachisha kazi akiamka na kusema natengua uteuzi wa mkuu wa majeshi hana chake ila jaji mkuu ndio noma
 
Kwasababu ubishi ni asili yako lakini kiukweli niliye muona alikuwa mkuu wa majeshi mstaafu mwamunyange.alikuwa anarudi kwake na kulikuwa na folen hatari kutokea bondeni mpaka makonde hivyo alikaa foleni kama kawa na mp walishuka na kuanza kusafisha njia kuwaomba raia kuweka gari zao pembeni ili apite

Uko sahihi kabisa,msafara wa CDF mara nyingi ni magari matatu. Fors Everest/Defender moja mbele yeye anakaa katikati akiwa kwenye Benz/L Cruiser na nyuma kunakua na Ford Everest/Defender nyingine.
Wakikuta foleni,MP anashuka anaenda kuuongoza foleni hli mkuu apite akimaliza anadaka ndika wanaendelea na safari.
Awasafishiwi njia na polisi.
 
Mkuu wa majeshi kila anapokuwa kuna msafara ...gari yake Ina Nyota Nne ...na gari Moja au Mbili nyuma Zenye namba private ...uwepo wa kimuli muli hutegemea Hali ...especially kwa Mkuu tulie naye Hana Makuu na hutumia sweepers tu pale anapokuwa na uharaka ...Zaidi ukiwa nyuma yake hata bila sweeper traffic wanakuwa wamepewa signal na utaona wanaita Magari ya upande wake .....anapita
Hata Mkuu wa TISS naye kwa wanaojuwa wanaweza ku spot msafara wake wa Magari meusi yenye private number ...hadi UWE unajuwa Ndio utaweza ku spot ..entourage yake .

Mkuu wa Majeshi nafasi yake ni namba mbili Baada ya Rais ....yeye Ana ripoti Moja kwa Moja kwa Rais ...sio kwa waziri ,waziri Mkuu au Makamu wa Rais ...ambao anawatii tu..., Ana access na Rais 24/7 ....hata usiku akiwa amelala Anao uwezo wa kuagiza aamswe ili waongee au amuone ...ikitokea hatari yeyote ya ulinzi na Usalama au maafa ..yeye Ndio mwenye jukumu la kukusanya taarifa Za vyombo vyote na kumpelekea Rais taarifa Rasmi ..muda wowote ...wakuu wote wa vyombo Vya Usalama ( Polisi ,Usalama ,magereza ,zimamoto etc ) yeye Ndio joint chief ..au mwenyekiti wa ulinzi na Usalama ( national security council )

Kwa Nguvu kubwa alionayo ...anatakiwa kuwa humble ...ili asionekane..kuwazidi waziri wake ,waziri Mkuu na Makamu HADHARANI ....kwenye Protocal arrangement ..anawapigia saluti ..lakini behind the scene wanajuwa yeye ni nani ...na anawazidi ...Sasa akianza kutembea na misafara Marefu ....na Nchi Hii ni ya kidemokrasia..atakuwa Ana send wrong message ...
Well said mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isue inayojadiliwa ni Escort wewe unaanzisha story zako zakufikirika eti sijui fulani kupindua sijui nini. Stick kwenye Hoja. Halafu hata hayo uliyoandika kwa kweli Hujui lolote zaidi kuwa ni ILUSION tu.

Wewe ndio labda hujui, huyo mkuu kaweka mambo hadharani na ni ya kweli.
 
Mkuu wa majeshi kila anapokuwa kuna msafara ...gari yake Ina Nyota Nne ...na gari Moja au Mbili nyuma Zenye namba private ...uwepo wa kimuli muli hutegemea Hali ...especially kwa Mkuu tulie naye Hana Makuu na hutumia sweepers tu pale anapokuwa na uharaka ...Zaidi ukiwa nyuma yake hata bila sweeper traffic wanakuwa wamepewa signal na utaona wanaita Magari ya upande wake .....anapita
Hata Mkuu wa TISS naye kwa wanaojuwa wanaweza ku spot msafara wake wa Magari meusi yenye private number ...hadi UWE unajuwa Ndio utaweza ku spot ..entourage yake .

Mkuu wa Majeshi nafasi yake ni namba mbili Baada ya Rais ....yeye Ana ripoti Moja kwa Moja kwa Rais ...sio kwa waziri ,waziri Mkuu au Makamu wa Rais ...ambao anawatii tu..., Ana access na Rais 24/7 ....hata usiku akiwa amelala Anao uwezo wa kuagiza aamswe ili waongee au amuone ...ikitokea hatari yeyote ya ulinzi na Usalama au maafa ..yeye Ndio mwenye jukumu la kukusanya taarifa Za vyombo vyote na kumpelekea Rais taarifa Rasmi ..muda wowote ...wakuu wote wa vyombo Vya Usalama ( Polisi ,Usalama ,magereza ,zimamoto etc ) yeye Ndio joint chief ..au mwenyekiti wa ulinzi na Usalama ( national security council )

Kwa Nguvu kubwa alionayo ...anatakiwa kuwa humble ...ili asionekane..kuwazidi waziri wake ,waziri Mkuu na Makamu HADHARANI ....kwenye Protocal arrangement ..anawapigia saluti ..lakini behind the scene wanajuwa yeye ni nani ...na anawazidi ...Sasa akianza kutembea na misafara Marefu ....na Nchi Hii ni ya kidemokrasia..atakuwa Ana send wrong message ...

Heshima kwako mkuu!
 
Kama vile Mungu mtu?! anavuta hewa yetu, anakula kama sisi, anaenda choo kama sisi, sasa sijuwi kipi cha ajabu hapo kuliko sie tunaosota kwenye daladala toka posta mpaka bunju?!
 
Back
Top Bottom