Kwanini Mkuu wa nchi anajificha (katua Private Aiport huko Dubai) ndege ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401

Kwanini Mkuu wa nchi anajificha (katua Private Aiport huko Dubai) ndege ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetua kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.

Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe wazi
IMG_4875.jpeg

Britanicca
20260203_082535.jpg
20260203_082539.jpg
 
Hiyo ni hali ya kujisikia hatia.

Machawa wa Samia humu ndani na kwingineko Huwa wanatengeneza propaganda kuwa mambo yapo sawa na hakuna kitu kimetokea na hakuna kitu kinaenda kumtokea Samia.

Ukweli unabaki kuwa wahusika wakuu wa hili swala wanafeel guilty kwa walichokifanya na ile sauti ya ndani inapiga kelele Kila saa.

Mbaya zaidi ni pale Dunia inapozidi kupiga kelele Kila siku kama walivyofanya BBC Leo. Mwangwi unakuwa mkali.

Hawa watu wanateseka sana. Ila kwa nje wanatudanganya mambo yapo sawa.
 
Hiyo ni hali ya kujisikia hatia.

Machawa wa Samia humu ndani na kwingineko Huwa wanatemgeneza propaganda kuwa mambo yapo sawa na hakuna kitu kimetokea na hakuna kitu kinaenda kumtokea Samia.

Ukweli unabaki kuwa wahusika wakuu wa hili swala wanafeel guiltykwa walichokifanya na ile sauti ya ndani inapiga kelele Kila saa.

Mbaya zaidi ni pale Dunia inapozodi kupiga kelele Kila siku kama walivyofanya BBC Leo. Mwangwi unakuwa mkali.

Hawa watu wanateseka sana. Ila kwa nje wanatudanganya mambo yapo sawa.
Hakuna kitu kinacho mtesa mwanadamu kama kuhukumiwa na dhamiri.
Nakubalina nawe wanateseka Sana ndani kwa ndani.
 
Usituchoshe hapa
Uliwahi kutoa ramli za kipuuzi humu ndani mara july mara ujinga ujinga tupu..
Mh Rais kajificha vipi au unataka tension za kipuuzi humu?

1. kaondoka tanzania kweupe

2. kaaga mkuu wa mkoa wa dsm na viongozi wengne waliokuwepo pale airport kweupe

3. hadi na wewe unajua namba za ndege na namba za safari (hapo kuna siri gani)
-au siku safari za ndege na namba za usajili wa ndege ni kificho? acha kudhani kuwa wote humu ni kima kana kwamba hawajawahi kusafiri kwa ndege.

4. hadi uwanja alioutua unajulikana, hapa kuna usiri gani?

kaa ukijua kuwa huko wameenda viongozi wengi wa kimataifa, atue wapi na apokelewe na nani hizo ni logistic za kiusalama za nchi husika, tafuta hadaa nyingine uje kuwashikia akili makina wenzio"
 
Chawa!!!!!!
 
Kwa nini atue kwenye kiwanja private na kwa nini anakwenda uarabuni tu kwa wajomba zake?Something is very wrong.
suala la kwanini private airport siwezi kulijibia,

lakini suala la kwanini anakwenda uarabuni --- hili limekaa kishabiki kwa maana hii si ndo safari ya kwanza nje ya nchi toka arudi madarakani? kama ndivyo basi hata kama mnataka kukosoa inabidi msikilizie trips 3 au 4 hivi
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.

Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030

Britanicca

Lolr Jini , Kahaba , Nyonya Damu haliwezi kuwa wazi wazi watu watalikemea.
 
Back
Top Bottom