valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,258
- 1,438
Hata huko kwenye mkutano wa AU woooote wanamuona ni nuisance.
Hizo ndoto za ICC ziondoeni vichwani mwenu. Huko The Hague kwenda kwake hakufanani na mtu anayefuata samaki pale Feri.Hao wajomba hawana msaada wowote hata akijipendekeza kwao.
Subiri siku mambo yakiwa magumu huko ICC uone kama watatoa pua kumsaidia au Kuongea chochote.