Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,414
- 3,043
Maswali mengine ya *******.Kwa nini atue kwenye kiwanja private na kwa nini anakwenda uarabuni tu kwa wajomba zake?Something is very wrong.
Wewe kama nani?
Maswali mengine ya *******.Kwa nini atue kwenye kiwanja private na kwa nini anakwenda uarabuni tu kwa wajomba zake?Something is very wrong.
Usishangae mkuu, JF imekuwa na wajinga wengi mno.Nyinyi Majuha mlitaka Ashukie wapi Rais mnafananisha na Shangazi zenu wanaoshukia DBX? Lazima apate presidential welcome nchi nyingine anashukia kwenye uwanja wa Jeshi lnaandaliwa gwaride hivi ukiwa TEC au CHADEMA akili ndo zinapotea kabisa ?
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetua kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
BritaniccaView attachment 3538250View attachment 3538249
HakikaThe guilty are afraid!
Anaogopa kulambwa shaba kama alivyowalamba watu October, maana anajua ukiua Kwa upanga utauwawa Kwa upangaRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetua kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
BritaniccaView attachment 3538250View attachment 3538249
Samia kila mahali anasambaza mihela,sijui kama ICC hajasambaza kweli.Hao wajomba hawana msaada wowote hata akijipendekeza kwao.
Subiri siku mambo yakiwa magumu huko ICC uone kama watatoa pua kumsaidia au Kuongea chochote.
Huyo Rais aliyechaguliwa kwa kura halali za wananchi wanaoelewa alifanya nini kuanzia 2021 March mpaka 2025 pia wanaelewa anakwenda kufanya nini mpaka 2030.Usiseme mkuu wa nchi sema mtu haramu anae jifanya ni rais
Rais anayependwa na wananchi ana-apishwa kwenye uwanja wa jeshi mahali ambapo waliomchagua hawawezi kufika, anaogopa nini,si wananchi wanampenda!?Na kama anapendwa, kwa nini wananchi waandamane mpaka kufikia hatua ya kuwaua?You people are showing how stupid you are.Either you are part of system,or you benefit from from it.Huyo Rais aliyechaguliwa kwa kura halali za wananchi wanaoelewa alifanya nini kuanzia 2021 March mpaka 2025 pia wanaelewa anakwenda kufanya nini mpaka 2030.
Endeleeni kususa na kununa, maisha yanaendelea kama kawaida.
Kuapishwa kwenye eneo la Chamwino ikulu kipindi kile ilitokana na ukweli kwamba Gen Z walileta vurugu za kipuuzi, muda ule SSH anaapa kulikuwa na maiti zimezagaa kwenye baadhi ya maeneo hali haikuwa shwari.Rais anayependwa na wananchi ana-apishwa kwenye uwanja wa jeshi mahali ambapo waliomchagua hawawezi kufika, anaogopa nini,si wananchi wanampenda!?Na kama anapendwa, kwa nini wananchi waandamane mpaka kufikia hatua ya kuwaua?You people are showing how stupid you are.Either you are part of system,or you benefit from from it.
Acheni hizo,kama wasaliti walikuwa nje,kwa nini serikali imesitisha zoezi la wananchi kutoa ushahidi mbele ya tume ya Samia.Watanzania sio wajinga jamani,we know what is happening and what happened.Kuapishwa kwenye eneo la Chamwino ikulu kipindi kile ilitokana na ukweli kwamba Gen Z walileta vurugu za kipuuzi, muda ule SSH anaapa kulikuwa na maiti zimezagaa kwenye baadhi ya maeneo hali haikuwa shwari.
Serikali kitaalam imeweza kuzuia mapinduzi ya kiharamia yaliyoandaliwa na wanasiasa waliofilisika wakishirikiana na baadhi ya wasaliti waliopo huko nje.
Mkuu huwezi kukata watu vidole halafu mapolisi wakuache tu.Acheni hizo,kama wasaliti walikuwa nje,kwa nini serikali imesitisha zoezi la wananchi kutoa ushahidi mbele ya tume ya Samia.Watanzania sio wajinga jamani,we know what is happening and what happened.
Narudia,we know what happened and what is happening,kama ni mbumbu ni wewe.Mkuu huwezi kukata watu vidole halafu mapolisi wakuache tu.
Huwezi kuchoma moto vituo vya mwendokasi na maduka ya watu Sinza ukapora mali halafu mfumo wa ulinzi ukuache tu.
Vipi kwa mfano wale vijana wangefanikiwa kuiangusha serikali kupitia yale machafuko, tungesikia hizi habari za kwanini Samia haitwi kule ICC?.
Machafuko yalizimwa kitaalam.Narudia,we know what happened and what is happening,kama ni mbumbu ni wewe.
Kwa anayeiunga mkono hii ya Samia iliyoingia kwa gharama ya damu za maelfu ya ndugu zetu, dada na mama zetu na kaka na baba zetu wasio na hatia yoyote, HAKIKA HUYO MTU ATAKUWA CHAWA ASIYE NA HAYA, SONI WALA AKILI...!!na kingine sio kila anayeiunga mkono serikali ni chawa
Ingetokea wale wahuni siku ile wakaingia mpaka ikulu na kujitangazia serikali yao, ungekuja na haya maneno ya kutia huruma?.Kwa anayeiunga mkono hii ya Samia iliyoingia kwa gharama ya damu za maelfu ya ndugu zetu, dada na mama zetu na kaka na baba zetu wasio na hatia yoyote, HAKIKA HUYO MTU ATAKUWA CHAWA ASIYE NA HAYA, SONI WALA AKILI...!!
Wenye akili, na kwa kutambua kuwa wako chini ya utawala wa serikali ya aina hii, basi watamwomba Mungu Yehova awaepushe na uovu wa kishetani unaoambatana na serikali hii usiendelee kutuumiza...!!
Mpaka hapo, bado tu unajiona kuwa wewe sio chawa wa kushambikia uovu ulio wazi kabisa badala ya kukemea na kuukataa...??
mimi jukumu langu ni kutumia akili zangu timamu --- watu wa aina yangu wengi walishawaonya watu kuliko kuandamana ni heri wasusie kupiga kura, hamkusikia mkawasikiliza wanaharakati waliowapa ahadi hewaKwa anayeiunga mkono hii ya Samia iliyoingia kwa gharama ya damu za maelfu ya ndugu zetu, dada na mama zetu na kaka na baba zetu wasio na hatia yoyote, HAKIKA HUYO MTU ATAKUWA CHAWA ASIYE NA HAYA, SONI WALA AKILI...!!
Wenye akili, na kwa kutambua kuwa wako chini ya utawala wa serikali ya aina hii, basi watamwomba Mungu Yehova awaepushe na uovu wa kishetani unaoambatana na serikali hii usiendelee kutuumiza...!!
Mpaka hapo, bado tu unajiona kuwa wewe sio chawa wa kushambikia uovu ulio wazi kabisa badala ya kukemea na kuukataa...??
Kitaalam au kikatili.Vijana wale walikuwa wanadai haki zao za msingi kabisa.Machafuko yalizimwa kitaalam.
Huwezi kudai haki kwa kuchoma mali za watu wengine zisizo na kosa lolote.Kitaalam au kikatili.Vijana wale walikuwa wanadai haki zao za msingi kabisa.