Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 2,049
- 6,903
Acha uchawa tafuta elaanajificha vipi sasa, safari imetangazwa , karuka na air tanzania --- anajificha kwa kwenda mkutanoni?
Acha uchawa tafuta elaanajificha vipi sasa, safari imetangazwa , karuka na air tanzania --- anajificha kwa kwenda mkutanoni?
Tena chawa mlamba mav wa chura kiziwi...Chawa!!!!!!
Ukweli unabaki kuwa wahusika wakuu wa hili swala wanafeel guiltykwa walichokifanya na ile sauti ya ndani inapiga kelele Kila saa.
Mbaya zaidi ni pale Dunia inapozodi kupiga kelele Kila siku kama walivyofanya BBC Leo. Mwangwi unakuwa mkali.
Hawa watu wanateseka sana. Ila kwa nje wanatudanganya mambo yapo sawa.
Unafikiri atakwenda wapi zaidi ya China labda na Uganda kwa dicteta mwenzakesuala la kwanini private airport siwezi kulijibia,
lakini suala la kwanini anakwenda uarabuni --- hili limekaa kishabiki kwa maana hii si ndo safari ya kwanza nje ya nchi toka arudi madarakani? kama ndivyo basi hata kama mnataka kukosoa inabidi msikilizie trips 3 au 4 hivi
Kitu ambacho nina uhakika nacho ni kuwa, wewe hapo huwezi kuwa na akili kuliko sisi wote hapaUsituchoshe hapa
Uliwahi kutoa ramli za kipuuzi humu ndani mara july mara ujinga ujinga tupu..
Mh Rais kajificha vipi au unataka tension za kipuuzi humu?
1. kaondoka tanzania kweupe
2. kaaga mkuu wa mkoa wa dsm na viongozi wengne waliokuwepo pale airport kweupe
3. hadi na wewe unajua namba za ndege na namba za safari (hapo kuna siri gani)
-au siku safari za ndege na namba za usajili wa ndege ni kificho? acha kudhani kuwa wote humu ni kima kana kwamba hawajawahi kusafiri kwa ndege.
4. hadi uwanja alioutua unajulikana, hapa kuna usiri gani?
kaa ukijua kuwa huko wameenda viongozi wengi wa kimataifa, atue wapi na apokelewe na nani hizo ni logistic za kiusalama za nchi husika, tafuta hadaa nyingine uje kuwashikia akili makina wenzio"
Bora iwe hivyoharudi huyo, ndo keshasepa hivyo …
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca
The guilty are afraid!
Nyinyi Majuha mlitaka Ashukie wapi Rais mnafananisha na Shangazi zenu wanaoshukia DBX? Lazima apate presidential welcome nchi nyingine anashukia kwenye uwanja wa Jeshi lnaandaliwa gwaride hivi ukiwa TEC au CHADEMA akili ndo zinapotea kabisa ?Samia siyo mkuu wa nchi.
Kwa maovu yote hayo aliyofanya, lazima nafsi yake imsute. Fazafaka anateketea ndani kwa ndani.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca
Unafikiri atakwenda wapi zaidi ya China labda na Uganda kwa dicteta mwenzake
Tayari mzee wa kujiita una nyeti na kuandika kwa codes naona umewashwa.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca
Mkuu habari vipiChawa!!!!!!
Huyu britanicca ana mapimbi wake wanamuona eti mtu wa system na eti anaandika kwa codes. Mimi kwa quality ya threads zake ahisi ana genes za kike tu. Kuna watu wanampumulia.Usituchoshe hapa
Uliwahi kutoa ramli za kipuuzi humu ndani mara july mara ujinga ujinga tupu..
Mh Rais kajificha vipi au unataka tension za kipuuzi humu?
1. kaondoka tanzania kweupe
2. kaaga mkuu wa mkoa wa dsm na viongozi wengne waliokuwepo pale airport kweupe
3. hadi na wewe unajua namba za ndege na namba za safari (hapo kuna siri gani)
-au siku safari za ndege na namba za usajili wa ndege ni kificho? acha kudhani kuwa wote humu ni kima kana kwamba hawajawahi kusafiri kwa ndege.
4. hadi uwanja alioutua unajulikana, hapa kuna usiri gani?
kaa ukijua kuwa huko wameenda viongozi wengi wa kimataifa, atue wapi na apokelewe na nani hizo ni logistic za kiusalama za nchi husika, tafuta hadaa nyingine uje kuwashikia akili makina wenzio"
Acha ushamba wewe, maraisi wote hutua private airport kwa safari zaoTena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Nalijua hilo na nashukuru watu wengi wenye akili washajua huyo si mimi!Kuna boya Twitter anatumia jina lako na anakudhalilisha sana kwa mchango wake wa kipuuzi
Labda ndio kaamua yaishe, maana kelele nyingi mpaka ashundwa kufanya kazi zakeRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca
Eti alitaka Rais naye apite zile "ARRIVAL GATE" halafu apange foleni ya Immigration, kisha akasibiri luggage pale kwenye conveyor beltAcha ushamba wewe, maraisi wote hutua private airport kwa safari zao
Of course lazima waseme kaenda mkutanoni, kaenda kuomba pesa hazina hamna kituanajificha vipi sasa, safari imetangazwa , karuka na air tanzania --- anajificha kwa kwenda mkutanoni?
Kwani una hati miliki ya kuitwa Nyani Ngabu ? Au hiyo Nyani Ngabi ndiyo umetumia kwenye NIDA?Nalijua hilo na nashukuru watu wengi wenye akili washajua huyo si mimi!