Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Boeing la Air Tanzania lime cancel abiria wa wiki nzima kumbeba Samia na machawa wake, kwani hawezi kupanda first class, matumizi mabaya na ubadhirifu mkubwa huu
Hawa chawa wa Samuya wamenyweshwa maji yaliyofulia gagulo zakeMi sijamkataza mtu kulitumia hilo jina halafu anatokea mende anahoji kama nina hati miliki na jina!
Akili zingine bana….
yeah sio jambo geni sana na halitashangaza, si atakua kama jpm tuUnafikiri atakwenda wapi zaidi ya China labda na Uganda kwa dicteta mwenzake
kama hazina hamna kitu alafu kaenda kuomba hela, sio jambo jema mkuu?Of course lazima waseme kaenda mkutanoni, kaenda kuomba pesa hazina hamna kitu
Sijaelewa.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca
Maisha ya ngiri. HaahahUsiseme mkuu wa nchi sema mtu haramu anae jifanya ni rais
1. Mh RAIS hana ubaya na mtu na wala hajauaKwahiyo unamuunga mkono muuaji wa raia wasio kua na hatia.
Suala ni kwamba unakutana na Viongozi wengi wenye hulka tofauti. Wao hawajaua hata sisimizi ku maintain nafasi zao. Yeye kaangamiza maelfu ya raia wake kusalia madarakani. Hapo huoni kuna kaupepo fulani katagonga masikioni mwake??hapo ndipo mnampokosea kufikiria kwamba wanahisi chochote kile kwa unyama wanaofanya, mnahitaji kujielimisha khs evil, evil people feel nothing, they have no soul kama binadamu wa kawaida.
mnahitaji knowledge of evil ili muweze kuelewa kinachoendelea.
tunadili na evil …
Hiyo ni hali ya kujisikia hatia.
Machawa wa Samia humu ndani na kwingineko Huwa wanatemgeneza propaganda kuwa mambo yapo sawa na hakuna kitu kimetokea na hakuna kitu kinaenda kumtokea Samia.
Ukweli unabaki kuwa wahusika wakuu wa hili swala wanafeel guiltykwa walichokifanya na ile sauti ya ndani inapiga kelele Kila saa.
Mbaya zaidi ni pale Dunia inapozodi kupiga kelele Kila siku kama walivyofanya BBC Leo. Mwangwi unakuwa mkali.
Hawa watu wanateseka sana. Ila kwa nje wanatudanganya mambo yapo sawa.
Kabisa mkuu atajaa tuWacha aruke aruke tu lakini mwisho wa siku atanasa tu
Mkuu, mpaka umeipta wewe kwenye mtandao, hiyo ni kujificha? Vipi hizo nyingine nazo zilijificha?Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca
Ameenda kuuza dhahabuRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca
ICC phobiaRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca
Imetangazwa wapi?anajificha vipi sasa, safari imetangazwa , karuka na air tanzania --- anajificha kwa kwenda mkutanoni?