cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂😂Unafikiri atakwenda wapi zaidi ya China labda na Uganda kwa dicteta mwenzake
😂😂😂😂😂Unafikiri atakwenda wapi zaidi ya China labda na Uganda kwa dicteta mwenzake
page za ikulu umezifollow ili kujua ikulu kuna habari gani? local media?Imetangazwa wapi?
Usicheze na damu za watu bossRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca
Chawa wa kwanza kupanda ndegeHii ni Farnborough Airport UK, nilishawahi kutua hapo kwenye shughuli zangu, tena tulikalishwa kwenye ndege mpaka Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan apite, ndio ujue kwanini hajaenda kutua Heathrow
View attachment 3538040
What!t
always there food is human fresh
Kutumia private airport is not necessary kujificha, sometimes ni mambo ya the economic of scales ya landing fee na parking fee ndege inamsubiri na kurudi nae, ila nina swali moja, si tulinunua gulf stream nyingine, kwanini atumie mdege mkubwa wote ule B737, au ameenda na serikali yote?.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca
Hatumii ile ndege Gulf Stream kwasababu ya USHIRIKINA!! Anataka kama lolote litampata kwenye ndege aende na wengi!!!!Kutumia private airport is not necessary kujificha, sometimes ni mambo ya the economic of scales ya landing fee na parking fee ndege inamsubiri na kurudi nae, ila nina swali moja, si tulinunua gulf stream nyingine, kwanini atumie mdege mkubwa wote ule B737, au ameenda na serikali yote?.
P
Muuaji hana makaoRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca
Yes . Ipo hivyo hiyo ni kawaida. . Hata mtu binafsi tuseme kama mo dewji anaweza akawa na ndege yake na akaenda u .s na kutua kwenye private airport bila shida .. cha msingi Kuna fomu maalum za maombi huwa zinajazwa na kuwa submitted kwenye mamlaka ya FAA kwa ajili ya approvalViongozi wengi wa nchi hutua kwenye Private Airport,hilo ni jambo la kawaida sana mkuu,
Ni issue ya security, privacy, and convenience.
Kwanini umeulizaKwani humu JF siku hizi kuna mambo ya content creators ambao hulipwa kwa kupata viewers wengi ama?
Paskalli lini serikali imenunua Gulfstream!Kutumia private airport is not necessary kujificha, sometimes ni mambo ya the economic of scales ya landing fee na parking fee ndege inamsubiri na kurudi nae, ila nina swali moja, si tulinunua gulf stream nyingine, kwanini atumie mdege mkubwa wote ule B737, au ameenda na serikali yote?.
P
*** u, *** Samia.Kutumia private airport is not necessary kujificha, sometimes ni mambo ya the economic of scales ya landing fee na parking fee ndege inamsubiri na kurudi nae, ila nina swali moja, si tulinunua gulf stream nyingine, kwanini atumie mdege mkubwa wote ule B737, au ameenda na serikali yote?.
P
Makamanda uchwara utawajua tu jinsi wanavyojisumbua🤣anajificha vipi sasa, safari imetangazwa , karuka na air tanzania --- anajificha kwa kwenda mkutanoni?
Akili hawana haoanajificha vipi sasa, safari imetangazwa , karuka na air tanzania --- anajificha kwa kwenda mkutanoni?
Umeishiwa kweli ndugu yangu,mtu katoka hapa na mapichaz kapigwa akiagana na maafisa na anaenda kwenye mkutano wa wazi,bado unasema anajifichaRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca