britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Ulaya siku hizi anakuona kituo cha polisiHuu mkutano usinge fanyika uarabuni lazima angetuma mwakilishi.
Hao wajomba hawana msaada wowote hata akijipendekeza kwao.Huu mkutano usinge fanyika uarabuni lazima angetuma mwakilishi.
Hakuna kitu kinacho mtesa mwanadamu kama kuhukumiwa na dhamiri.Hiyo ni hali ya kujisikia hatia.
Machawa wa Samia humu ndani na kwingineko Huwa wanatemgeneza propaganda kuwa mambo yapo sawa na hakuna kitu kimetokea na hakuna kitu kinaenda kumtokea Samia.
Ukweli unabaki kuwa wahusika wakuu wa hili swala wanafeel guiltykwa walichokifanya na ile sauti ya ndani inapiga kelele Kila saa.
Mbaya zaidi ni pale Dunia inapozodi kupiga kelele Kila siku kama walivyofanya BBC Leo. Mwangwi unakuwa mkali.
Hawa watu wanateseka sana. Ila kwa nje wanatudanganya mambo yapo sawa.
Kwa nini atue kwenye kiwanja private na kwa nini anakwenda uarabuni tu kwa wajomba zake?Something is very wrong.anajificha vipi sasa, safari imetangazwa , karuka na air tanzania --- anajificha kwa kwenda mkutanoni?
Labda atatafuta nchi inayo mvumilia azuru huko ulaya kuonyesha anaweza kutoka kwenda duniani pote!Ulaya siku hizi anakuona kituo cha polisi
Chawa!!!!!!Usituchoshe hapa
Uliwahi kutoa ramli za kipuuzi humu ndani mara july mara ujinga ujinga tupu..
Mh Rais kajificha vipi au unataka tension za kipuuzi humu?
1. kaondoka tanzania kweupe
2. kaaga mkuu wa mkoa wa dsm na viongozi wengne waliokuwepo pale airport kweupe
3. hadi na wewe unajua namba za ndege na namba za safari (hapo kuna siri gani)
-au siku safari za ndege na namba za usajili wa ndege ni kificho? acha kudhani kuwa wote humu ni kima kana kwamba hawajawahi kusafiri kwa ndege.
4. hadi uwanja alioutua unajulikana, hapa kuna usiri gani?
kaa ukijua kuwa huko wameenda viongozi wengi wa kimataifa, atue wapi na apokelewe na nani hizo ni logistic za kiusalama za nchi husika, tafuta hadaa nyingine uje kuwashikia akili makina wenzio"
Kuna boya Twitter anatumia jina lako na anakudhalilisha sana kwa mchango wake wa kipuuziSamia siyo mkuu wa nchi.
suala la kwanini private airport siwezi kulijibia,Kwa nini atue kwenye kiwanja private na kwa nini anakwenda uarabuni tu kwa wajomba zake?Something is very wrong.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetuwa kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe waziView attachment 3538030
Britanicca