Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
!
!
Huyu mtaalam wa mambo ya Anga hakuwahi kuweka wazi maswala ya imani yake. Kwa hiyo jamii haikuwahi kujua kama ana dini au hana, au imani yake ikoje. Moja la msingi kulitilia mkazo ni kwamba kwenye wosia wake alichagua akifa mwili wake uchomwe moto na majivu yakatupwe baharini. Kwa sababu mazishi ya aina hiyo ni haram kwa mujibu wa imani ya kiislam, basi ni wazi kwamba Armstrong hakuwa muumini wa dini au imani ya Kiislam.