Mimi ni Mkatoliki, nilikwenda Fatima Portugal, katika kufuatilia the apperation of our Lady. Wale watoto watatu Luciea, Francis na Jassinta, kabla hawajatokewa na Bikira Maria, malaika aliwafuata akawaambia wa sali kama yeye anavyo sali, hivi ndivyo Mungu anavyo penda aabudiwe, malaika alisujudu ardhi mara tatu, akisema 'Mungu wangu, nina kupenda, nanakuamini na ninakutukuza, ninawaombea msaha wale wasio kuamini wasiokupenda na wasiokutuza'.
Zakuambiwa changanya na zako. Ninafanya ibada hii kila siku.