Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

Kumbe chanzo ni Qurantukufu,basi sawa! Quran ni kitabu/Mwongozo wa Waislam sasa ulitegemea ukute inasema ndivyo sivyo.Leta vyanzo vingine kuback up hicho unachokisema mbali ya Quran.
Neil Armstrong (Conversion to Islam)

From WikiIslam, the online resource on Islam




Neil Alden Armstrong (August 5, 1930 – August 25, 2012) was an American aviator and a former astronaut, test pilot, aerospace engineer, university professor, and United States Naval Aviator. He was the first person ever to set foot on the Moon.


Neil Armstrong is said to have converted to Islam upon hearing the Adhan (call to prayer) on the moon. A typical version of the story follows:
When Neil Armstrong and co. walked on the moon, they heard sounds in a strange language they did not understand. ‘When Neil Armstrong went to Egypt, he heard the adhan, and said, "it was spacey something similar I heard while I was on the moon". Egyptian Friend told him that, it was the sound of Azaan (call for Muslim prayer). And Neil Armstrong immediately became Muslim because of this experience.

Source.
Neil Armstrong (Conversion to Islam) - WikiIslam
 
Ukweli ni kwamba Armstrong alikunya mwezini. Na dini moja inaendelea kuangalia kinyesi chake kabla ya ibada ya mfungo.... Masikini
 
how did you know kuna solar wind za hatari sana kama hakuna mtu aliwahi kwenda?

Kuna series ya vyombo vya anga vimewahi kipelekwa(Apollo) huko na kuchukua vipimo vya hali ya huko. Vyote hivi havikuwa na binadamu ndani yake. Kwani tunapozungumzia components za jua kuna mtu amewahi fika huko?
 
Solar wind umemanisha nini APA?

Jaribu kugoogle mkuu, kifupi ni mionzi yenye joto kali kutoka kwenye corona ya jua. Kwa kuwa mwezi hauna kinga kwenye anga yake zinafika kwa kiasi kikubwa sana.
 


It was a hoax mzee.
Re read all historical facts!
Serikali ya Marekani ilishalitilea tamko jambo hili la uvumi?

In actual fact kuna watu hawaamini kabisa kuwa mtu alitua mwezini, mahali patakatifu.
 
Ngoja niishie hapa naona nimeuliza swali jingine kabisa na wewe umeteremka na Wikipedia kujibu kitu tofauti.Asante lakini kwa kujaribu.
 
Hakuna mwanadamu aliyeweza kufika mwezini.... Hile ilikuwa ni ka movie za hollywood tu...
Kuna facts nyingi sana zikiangaliwa zinaonesha kuwa hakuna mtu awezaye kwenda mwezini.
"If you Can't Make It, Then Fake It". Hicho ndo walichofanya NASA.

So hiyo story ya yeye kusikia azaan wakati no one landed on the MOON ni HOAX
 
Hiki Kuna wengine walioenda mwezini zaidi ya huyo mmarekani.
 
Mnashangaa nini? Uislam ni dini ya binadamu na majini, kwakuwa majin wanaweza kwenda ktk sayar nyingne tofaut na dunia basi huenda majin walikuwa wanaalikana ktk muda wa ibada ya swala.
 
Kiwango cha ujinga cha watanzania kinastaajabisha.

Waislam wamekuwa warahisi sana kufall for propaganda. Wao huwa hawajiulizi Mara mbili ili mradi kinafavor dini yao wao wanaamini bila kujiuliza ndio Maana kila siku wanajazwa propaganda.

Anyways ni simple physics mwezini Hakuna atmosphere (medium) ambayo ni Lazima iwepo ili sauti iweze kusafiri hivyo Hakuna uwezekano wa kusikia sauti yeyote mwezini.

Aidha kuna madai kuwa No man has ever landed on the moon zote hizo ni fabrication na ukifuatilia kwa ukaribu unaweza kuamini maana ushahidi ushahidi upo wa kutosha

Rudini shule Kama hadi physics ya form2 inawashinda
 

Je Armstrong alifika Mwezini au hakufika.
 
Hiki Kuna wengine walioenda mwezini zaidi ya huyo mmarekani.

Hakuna and that raises more questions than answers. Kwa jinsi technology ilivyoelendelea toka 1969 toka Armstrong akanyage mwezi hadi Leo ungetegemea sahizi binadamu awe anaenda mwezini na kurudi kiurahisi lakini sivyo
 
Kwa ninavyo elewa kuwa mwezini hakuna medium, manake sauti haiwezi kusikika.

Kwa maana Hiyo, hakuna sauti yoyote alosikia na sauti ingetoka wapi wakati yyy Ndo inasemekana ni kwanza kufika mwezini,...

Kama alibadili dini alibadili kwa influence nyingine...tuache kumezeshana matango pori hapa na conspiracies theories.
 
Je Armstrong alifika Mwezini au hakufika.

Kwanza jua Hakuna namna unaweza kusikia sauti mwezini sababu Hakuna atmosphere na hili halibadiliki either alifika au hakufika. Ni ajabu sana Kwa mtu aliye JF kutojua hili

Kurudi kwa swali lako, ukiniuliza mimi baada ya kuangalia madai ya pande zote mbili nitasema hakufika. Swali dogo tu toka 1969 Armstrong alipokanyaga mwezi Kama wanavyodai kwanini Hakuna attempt nyingine ya mtu kwenda mwezini ukizingatia technology ilivyokua hadi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…