Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

Ni kweli kuhusu wanawake,na wanaume je
 
Sijui kuhusu Nyie ndo maana nimeuliza,nilichodadavua ni kuhusu mwanamke na sababu zake....then nimetaka kujua kuhusu sababu zenu.Poormind🙄
Poormind my foot😂😂😂.. Go to hell you looser.
Hivi siku Ile unamwoa huyo mwanamke ulijua kabisa kuwa hakupendi ila ukamwoa hivyohiyvo? Kwa sababu zako zipi Sijui?
Huwezi kujua kama mtu unayemuoa au anayekuoa kama anakupenda kweli ama laah, laiti tungepewa uwezo wa kujua anachowaza mwenzio hapo sawa, lakini hatuna huo uwezo.
 
Poormind my foot😂😂😂.. Go to hell you looser.

Huwezi kujua kama mtu unayemuoa au anayekuoa kama anakupenda kweli ama laah, laiti tungepewa uwezo wa kujua anachowaza mwenzio hapo sawa, lakini hatuna huo uwezo.
Wow,😘 tusi lako nimelipenda kikubwa kama hupitii moto kwenye Ndoa Yako nalipokea Kwa mikono miwili.Na kuhusu kutokujua kuwa mtu hakupendi mi nadhani tunajua ila tunapotezea kujifariji atabadilika mbele😉
 
Kupendana kutakuja hukohuko mbele ya safari.Hata babu na Bibi walichaguliwa wa kuwaoa/kuolewa nao na wakapendana mbele ya safari.Wengine tunawapenda type za kina Barack Obama,sasa huku Nakatuba tunakutana na wakina manyama,wacha tutaenda kuwapenda mbele ya safari.
 
Wow,😘 tusi lako nimelipenda kikubwa kama hupitii moto kwenye Ndoa Yako nalipokea Kwa mikono miwili.Na kuhusu kutokujua kuwa mtu hakupendi mi nadhani tunajua ila tunapotezea kujifariji atabadilika mbele😉
Hamna tusi hapo madamee😄

Huwezi kujua side B ya mwenzio mpaka pale mnapoingia kwenye ndoa akianza kuonesha makucha yake ndipo utajua anhaa kumbe side B yake iko hivi?

Ni wachache sana wanaopata nafasi ya kuwajua wapenzi wao fully kabla hawajaoana, ni mpaka umpate yule mtu ambaye yuko open to the maximum.
 
Sawa,mekuelewa mkuu🙏
 
Wanauwana kwasababu Upendo "kupendana" both au one side ndicho kiunganishi chao.

Ukitaka kuoa Usioe kwasababu umempenda, inaweza kukugharimu mahali.
Yeah,sure
 
Kupenda ni hukumu la mwanamume, mwanamke ameagizwa kutii.
 
Kuna bibi nimekutana nae Jana sokoni,sa Kuna kiugomvi kidogo kilitokea pembeni tuliposimama(Kuna bidhaa alikuwa anauza),wanandoa wanagombana at asubuhi hajaachiwa pesa mezani,jamaa kuona anaaibishwa kashusha kipigo.Mimi namwambia bibi ....ndoa za sikuhiz!?! Bibi anajibu ndoa zilikuwepo zaman,tulikuwa tunapigwa na chakula tunajitafutia but tulivumilia,sikuhiz uvumilivu hamna🤣
 
Watu wengi wanaoana,ila upendo unakua ni one sided,yaani mmoja anamnafikia mwenzake kua anampenda,wakati huyu mwingine anampenda mwenzake.
 
Kuna binti mmoja aliniambiaga "naolewa ila mchumba ana sura mbaya yani ni libaya sikuoneshi hata picha" nikabaki 😳😳 sasa kwanini aolewe nae anyway sikumuhoji sababu ya kujitoa muhanga ila walioana.
😳🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🚴 Ndo mambo yalivyo...mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…