Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

Ila mi nachojua wanaume hawaangalii I love you nyingi, wanachukulia utii ndo upendo....na Sisi wanawake tukiwa tunataka ndoa tunajua kuigiza mashaallah....kila unaloambiwa unatii, wao wanachukulia unawapenda....So tunawaconfuse hawa Kaka zetu.
Nitoe kwenye hao kaka zako unaowa confuse! Siyo kwa mimi
 
Hii hii akili iongelee Ni kwa Nini sie Ni masikini,na Ni kwa Nini tunafanya kazi ambazo hatuzipendi kuliko kuongelea mapenzi,Mana ukiwa na pesa utakuwa unaoa/kuolewa hata Mara kumi Kama wazungu kuwa na talaka Mia sio big deal. Blacks let us not take seriously sex, love, marriage rather than our we should take into consideration our life.

Mtu afanye Nini aliyetaka kuwa daktari sema akawa mwalimu wa bailojia na kemia na ilhali moyo wake upo kutibu wagonjwa.

Remember happiness is constant problem solving in our life. We need to make people be happy and prosperous in their life. Hapa ndipo wazungu wanatuzidiaga Mana wanaicheki mno ku nurture talents za watt wao sema sio tuna nurture suala la sex.

Wale jamaa kufaki one another once in a night halafu kesho mmeshasahauliana Ni ishu ya kawaida. Wapo real mno mapenzi Yana expire ,hata furaha yako ya kumiliki gari ,house,mtt n.k huwa inaisha muda wake unaona Ni kawaida.

Cheki Ile ladha ya kut00mbana first time huwa iko tofauti na incoming days Jamani.
Hata ukinunua gari utaipenda Kama Nini Ila as days goes on una take easy mpaka unaweza ukamuazima mshkaji Ila before hata lift Ni kazi labda utembee viwanja na maeneo mbali2 kisa Cha ego yako inaku drive uonekane na wewe uko juu ya dunia.
Umetisha mkuu. Kuna watu wapo radhi kukatisha ndoto zao kwa ajili ya mapenzi. Bila kujua kwamba mapenzi kama ilivyo viumbe nayo hufa. Uliyekuwa unampenda baada ya muda fulani unamuona wa kawaida sana. Kuna mtu ulikuwa unampenda na huwezi kukaa masaa ma 3 bila kumjulia hali, lakini kwa sasa hata humkumbuki na wala hujui yuko wapi.
 
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom